macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!Kuna
Malaria Sugu
Masanilo
Ngw’anangwa
Rutashubanyuma
Blackberry
Smile
Caroline Danzi
The Finest
Sisi tuliojiunga hivi karibuni tunapaki wapi😀Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue
Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Mbu yupo yupo kwenye uzi wa Liverpool anajiita Ladderwakina Mbuu
hahaha
Ohooooo…. 🤣🤣🤣🤣Sisi tuliojiunga hivi karibuni tunapaki wapi😀
Unalikumbuka battle la Masanilo na Malaria Sugu. Watu wazito sana hao. Masanilo nadhani ni PhD holder halafu ni Dr tuko zake Uungereza. Nilishawahi katana nae JB Belmont 2012Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
Lijendari 🫣Ohooooo…. 🤣🤣🤣🤣
Pascal nani umesemaa..!!??naona unachanganya ukongwe na umaarufu
Members wakongwe ni...
BAK
The boss
Nyani ngabu
Kiranga
Chief mkwawa
Pascal Mallaya na wengine.
Members maarufu sasa ndio hao uliowataja na wengineo
Wajad