RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Wewe ndiye kidogo umejaribu kuweka wakongwe. Mimi nashangaa mwanzisha thread ametaja ''watoto'' wa juzi juzi eti anasema ni wakongwe!
Watu kama kina Masanilo ndiyo najua ni wa siku nyingi.
WanaJF wengi average minded hawajui kutofautisha mtu maarufu na mkongwe. Mtu wakishinda nae kwenye nyuzi za chupi wanaona ni mkongwe au ana akili sana. Wakati kuna wababe kama barafu
 
Pascal nani umesemaa..!!??
Alikuwa anaitwaga Pasco wakati huo JF ndio JF na mwaka 2012-2015 alinifanya niingie JF na ID nyingi nyingi kipindi hiko Kama Nt.......a, Shu.....gulo, mwana........, mwanamal......, Ncha...... na nyingine siwezi zitaja... tulikuwa tunawashambulia akina Chris Lukosi, Zitto, R.IP Lemutuz n.k wakati huo nikiwa Chadema damudamu
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Kuna mtu alikuwa na story za kijasusi za kibabeeee simuoni hapa kwenye list...nilikuwa napenda sana kusoma makala zake....
Anaijua tabia za kisiasa na zq kijeshi zinazonguka maziwa makuu alikuwa ana niinspire sana
 
Back
Top Bottom