RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Sasa huu tuuite u racist au ushirikina?🙂🙂🙂
 
Unalikumbuka battle la Masanilo na Malaria Sugu. Watu wazito sana hao. Masanilo nadhani ni PhD holder halafu ni Dr tuko zake Uungereza. Nilishawahi katana nae JB Belmont 2012
Nakumbuka sana...kuna wakati Malaria Sugu alipigwa ban akaenda kulalamika kwenye gazeti la Mwanahalisi. Siku hiyo hiyo akafunguliwa...I miss those days nadhani 2012 ilikuwa.

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Mzee Mwanakijiji umesahaulika kabisa JF wakati wewe ulikuwa ndio Icon ya JF ukiacha Founder mwenyewe Maxence Melo .

Leo nimemkumbuka mtukutu Yo Yo proud Kenyan.

Hivi Invisible yuko lakini? Wapi Superman bila kusahau Balantanda Bala is always here.
Mzee na wewe ni wa siku nyingi...naona sasa umeshapata PhD....hongera sana....Invisible wa kupiga ban na kutoa access kwenye lile jukwaaaaaaa maarufu...@Mzee Mwanakijiji ....dah. Nimemkumbuka Bujibuji Simba Nyamaume

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Kuna Mpumbavu hapo siwezi kusoma mada zake kwasababu ni PUMBA TUPU

Jinga kabisa
 
Mzee na wewe ni wa siku nyingi...naona sasa umeshapata PhD....hongera sana....Invisible wa kupiga ban na kutoa access kwenye lile jukwaaaaaaa maarufu...@Mzee Mwanakijiji ....dah. Nimemkumbuka Bujibuji Simba Nyamaume

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Of course JF is my second home, tumekaa hapa muda mrefu, JF imetufanyia mengi, our bond is unbreakable

Tangu enzi za mkono mtupu haulambwi mpaka leo JF inawapa watu mpunga wa Zawadi kwa Washindi mbalimbali, na Maxence Melo siku hizi yuko angani tu kama Pilot anapasuwa anga tu, Mara Paris Mara New York hapo Ushomile utamtaka?
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Kuna huyu Boss aliyeuziwa Bandari juzi juzi hapa, anaitwa Bossi la dp world

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom