RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Vichawa vya buku saba Lumumba hana issue, usikute Saa hizi anakimbiza mwenge tu
Hahahaha umenikumbusha dongonla buku Saba. Sijui nani alilianzisha ila kulikuwa na kundi liliwekwa katika orodha akiwemo huyu Musa Allan, Lizaboni, Ritz, Zomba, Malaria Sugu na mkongwe Faiza...

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Walao mwaka wa kumi hapa Jf kwa account huu, lakini karibu miaka12 tokea kuifahamu na kuitumia Jf kusoma na kuchangia mijadala mbali mbali.
Kwa kipindi chote hicho sijawahi kukosekana Jf hata siku mbili, sijawahi kutokingia Jf kwa siku mbi au moja kabisa hata Jf wanalijua hilo, nimewasoma wengi tokea kipindi hicho na sasa, ingawa kwa sasa sio wale wa zamani au wapya mijadala imekua mepesi mno, lakini walao kuna uafadhali wa member wa 2015 kurudi nyuma mijadala yao ina aheri .
 
Back
Top Bottom