RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Kuna wanachama wengi walio kua majina na mijadala na maoni mbali mbali ambao kwa sasa hawapo kwa majina tulio yazoea, namuuliza dada mmoja hapatikani tena @Apologieslady
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
KIRANGA Apewe maua yake amechangia Sana kuelimisha mambo mengi ya Science (umemsahau?)
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
😋👏❤️ shukrani Gent.

Kwangu ni huyu mubaba mulevi 🤣 Mshana Jr
 
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao;
1.@GENTAMYCINE
2.@FaizaFoxy
3.@Extrovert
4. Pascal Mayalla
5.@Mshana Jr
6.@Behaviourist
7.@Shimba ya Buyenze
8. Depal
9.@Dengue

Hawa WAPEWE MAUA YAO.
Tutajie wa kwako maarufu au uliowakuta, wakongwee
Evelyn salt
 
Back
Top Bottom