Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Hii inalisaidia nini taifa wakati ukiwa na point 0.5 huko caf?
Maana simba kasaidia vilabu vingine kupanda ndege kucheza kimataifa(Namungo. , Yanga wenyewe, Biashara utd na Azam) Haya , hii ya uto inasaidia nini?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Now nchi inafuatiliwa ....through unbeaten record of yanga
 
Sisi Makolo sijui kama tunaweza kuipata record kamq hii maana tumeanza kufungwa mapema kwenye Ngao ya Jamii
Labda wapike hizo rekodi.....kama ile 20 billion ya mwamed[emoji23][emoji23]
 
Za rivers mlishinda?
Maana hesabu ya hizo game 39 mmetaja game za league ambazo zinajumuisha misimu miwili. Wekeni record sawa mueleweke. Kama ni season moja basi mseme ni unbeaten katika mashindano yote bila kuhusisha msimu wa 2022/23
Kwa kuwa record ....bado inaendelea kuvunjwa.....hatuwezi kuweka kikomo
 
Salaam wana jf

Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na EA na Africa ambayo imecheza mechi nyingi bila kufungwa

Yanga yaingiaje rekodi ya unbeaten duniani??
Jibu ni kuwa yanga mpaka sasa wamecheza michezo 39 bila kupoteza ......na wakifanikiwa kushinda mechi yeyote kwenye ligue basi watakuwa wamevunja record ya chelsea......waliocheza mechi 40 bila kupoteza

Record ya timu unbeaten duniani
Fc porto.mechi 58...2021/2022
Ac milan mech 58. 1991/1993
Celtics. Mech 56 ....2016/2017
Bayern. Mechi. 53 ...2012/2014
Arsenal. Mechi 49......2003/2004
Juventus. Mechi 49. 2011/2012
Liverpool mechi 44. 2019/2020
Barcelona. Mechi 43. 2017/2018
Real madrid.Mech 42. 2016/2017
Chelsea. Mechi. 40. 2004/2005
Yanga sc. Mechi 39 2021/2022

Huko FIFA watu wanakanyagana kujua details ....za yanga

Je unafikiria nini unaposikia yanga ni timu unbeaten pekee africa??View attachment 2333512

Ile Match ya Viper, imehesabiwa?
 
Back
Top Bottom