Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaahAu unataka Hadi ipostiwe na FIFA
[emoji23]Simba hawapo mkuu.....wamefungwa sana msimu huu
yaani YANGA ni wendawazimu.. wanatengeneza propaganda za kushindana na Simba Sc kimataifa hilo halitawezekana mpaka muache uswahili, rushwa na ushirikina. CAF itawathibitishia kuwa nyinyi ni low class.Salaam wana jf
Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na EA na Africa ambayo imecheza mechi nyingi bila kufungwa
Yanga yaingiaje rekodi ya unbeaten duniani??
Jibu ni kuwa yanga mpaka sasa wamecheza michezo 39 bila kupoteza ......na wakifanikiwa kushinda mechi yeyote kwenye ligue basi watakuwa wamevunja record ya chelsea......waliocheza mechi 40 bila kupoteza
Record ya timu unbeaten duniani
Fc porto.mechi 58...2021/2022
Ac milan mech 58. 1991/1993
Celtics. Mech 56 ....2016/2017
Bayern. Mechi. 53 ...2012/2014
Arsenal. Mechi 49......2003/2004
Juventus. Mechi 49. 2011/2012
Liverpool mechi 44. 2019/2020
Barcelona. Mechi 43. 2017/2018
Real madrid.Mech 42. 2016/2017
Chelsea. Mechi. 40. 2004/2005
Yanga sc. Mechi 39 2021/2022
Huko FIFA watu wanakanyagana kujua details ....za yanga
Je unafikiria nini unaposikia yanga ni timu unbeaten pekee africa??View attachment 2333512
Wameenda kumleta mdhungu[emoji23][emoji23][emoji23]Wapi simba [emoji1]
Ila kuna watu ni ndondocha mechi 58 kwa msimu mmoja unazichezaje?Club zingine hapo zimeweka takwimu za msimu mmoja.
Sasa utopolo mmeweka takwimu za misimu miwili. Takwimu zenu zinatakiwa ziishie msimu wa 2021/22 ambao mmetwaa ubingwa, sasa nyie mmeendelea kuhesabu game za 2022/23. Hemu kuweni serious kidogo.
Simba wanasubiria kuongoza list ya timu zinazowasha moto uwanjani.Wapi simba [emoji1]
Yanga na Simba ipi Ni top kwenye ushirikina?????yaani YANGA ni wendawazimu.. wanatengeneza propaganda za kushindana na Simba Sc kimataifa hilo halitawezekana mpaka muache uswahili, rushwa na ushirikina. CAF itawathibitishia kuwa nyinyi ni low class.
HatujamalizaaaaaaHata kama
Source ya iyo takwimuSalaam wana jf
Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na EA na Africa ambayo imecheza mechi nyingi bila kufungwa
Yanga yaingiaje rekodi ya unbeaten duniani??
Jibu ni kuwa yanga mpaka sasa wamecheza michezo 39 bila kupoteza ......na wakifanikiwa kushinda mechi yeyote kwenye ligue basi watakuwa wamevunja record ya chelsea......waliocheza mechi 40 bila kupoteza
Record ya timu unbeaten duniani
Fc porto.mechi 58...2021/2022
Ac milan mech 58. 1991/1993
Celtics. Mech 56 ....2016/2017
Bayern. Mechi. 53 ...2012/2014
Arsenal. Mechi 49......2003/2004
Juventus. Mechi 49. 2011/2012
Liverpool mechi 44. 2019/2020
Barcelona. Mechi 43. 2017/2018
Real madrid.Mech 42. 2016/2017
Chelsea. Mechi. 40. 2004/2005
Yanga sc. Mechi 39 2021/2022
Huko FIFA watu wanakanyagana kujua details ....za yanga
Je unafikiria nini unaposikia yanga ni timu unbeaten pekee africa??View attachment 2333512
Wataje ili tuka wasulubu kwa uongo waoFootball analyst ( wachambuzi)