Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Club zingine hapo zimeweka takwimu za msimu mmoja.
Sasa utopolo mmeweka takwimu za misimu miwili. Takwimu zenu zinatakiwa ziishie msimu wa 2021/22 ambao mmetwaa ubingwa, sasa nyie mmeendelea kuhesabu game za 2022/23. Hemu kuweni serious kidogo.
Mkuu, 1991/1993 ya AC Milan hapo ni msimu mmoja? Hapo zimehesabiwa tu mechi za bila kupoteza. Iwe msimu mmoja au kumi mfululizo haijalishi.
 
Salaam wana jf

Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na EA na Africa ambayo imecheza mechi nyingi bila kufungwa

Yanga yaingiaje rekodi ya unbeaten duniani??
Jibu ni kuwa yanga mpaka sasa wamecheza michezo 39 bila kupoteza ......na wakifanikiwa kushinda mechi yeyote kwenye ligue basi watakuwa wamevunja record ya chelsea......waliocheza mechi 40 bila kupoteza

Record ya timu unbeaten duniani
Fc porto.mechi 58...2021/2022
Ac milan mech 58. 1991/1993
Celtics. Mech 56 ....2016/2017
Bayern. Mechi. 53 ...2012/2014
Arsenal. Mechi 49......2003/2004
Juventus. Mechi 49. 2011/2012
Liverpool mechi 44. 2019/2020
Barcelona. Mechi 43. 2017/2018
Real madrid.Mech 42. 2016/2017
Chelsea. Mechi. 40. 2004/2005
Yanga sc. Mechi 39 2021/2022

Huko FIFA watu wanakanyagana kujua details ....za yanga

Je unafikiria nini unaposikia yanga ni timu unbeaten pekee africa??View attachment 2333512
Huko Yanga kuna upumbavu mwingi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna ile situation umeenda kujipima (pepa) na vipanga..wapo tisa ...bahati mbaya wew ukawa wa 10 mwisho.....

Automatically utafurahi atleast kuwa wa mwisho mbele ya vipanga[emoji23][emoji23]
😂😂😂
Harafu umeingia na nondo
 
Back
Top Bottom