Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Unbeaten ya mchongo hiyo uto. Mwenye akili timamu huwezi kufurahia hiyo record . Ni mchongo tu ndio uliwaepusha na vipigo kutoka Namungo na ruvu .
Ki vp mkuu....
 
yaani YANGA ni wendawazimu.. wanatengeneza propaganda za kushindana na Simba Sc kimataifa hilo halitawezekana mpaka muache uswahili, rushwa na ushirikina. CAF itawathibitishia kuwa nyinyi ni low class.
 
Club zingine hapo zimeweka takwimu za msimu mmoja.
Sasa utopolo mmeweka takwimu za misimu miwili. Takwimu zenu zinatakiwa ziishie msimu wa 2021/22 ambao mmetwaa ubingwa, sasa nyie mmeendelea kuhesabu game za 2022/23. Hemu kuweni serious kidogo.
Ila kuna watu ni ndondocha mechi 58 kwa msimu mmoja unazichezaje?
 
yaani YANGA ni wendawazimu.. wanatengeneza propaganda za kushindana na Simba Sc kimataifa hilo halitawezekana mpaka muache uswahili, rushwa na ushirikina. CAF itawathibitishia kuwa nyinyi ni low class.
Yanga na Simba ipi Ni top kwenye ushirikina?????
 
Source ya iyo takwimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…