Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Club zingine hapo zimeweka takwimu za msimu mmoja.
Sasa utopolo mmeweka takwimu za misimu miwili. Takwimu zenu zinatakiwa ziishie msimu wa 2021/22 ambao mmetwaa ubingwa, sasa nyie mmeendelea kuhesabu game za 2022/23. Hemu kuweni serious kidogo.
Mkuu, 1991/1993 ya AC Milan hapo ni msimu mmoja? Hapo zimehesabiwa tu mechi za bila kupoteza. Iwe msimu mmoja au kumi mfululizo haijalishi.
 
Huko Yanga kuna upumbavu mwingi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna ile situation umeenda kujipima (pepa) na vipanga..wapo tisa ...bahati mbaya wew ukawa wa 10 mwisho.....

Automatically utafurahi atleast kuwa wa mwisho mbele ya vipanga[emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Harafu umeingia na nondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…