FactsMnacheza na ambaye mnamkuza mkidhani kuwa Yanga hamuwezi
Tumewatamguliza nyie mgambo wetu,vita ikiwashinda wanajeshi twaja
Halafu huyo Al Ahyl Kila siku anakandwa 5,4 na Mamelodi
Mtani punguza hofu,jipange
Siye Wala hatutingishi,yeye ni kipimo Bora kwetu
Wanajiongelesha utazani hawajawah kufanywa
Madhara ya kukimbia shule hayo."Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Eti "Hawa miamba"!Hiiiiiiii!Na huo uuwiano wa mechi unaoibeba Utopolo uko wapi?Watu wakivimbiwa matobholwa wanakuwa hopelesses hadi basi."Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
NHIFSamahani mkuu,hao waliokandwa goli Tano ni akina nani!?
kwenye futiboli hakuna rekodi"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Mods fanyieni kazi huyu raia.wakutmb ww
Naikumbuka hii ya 1982 ilinisikitisha sana kwa figisu walizofanyiwa Yanga kule Misri.Najua utopolo wengi mlikuwa hamjazaliwa,Yanga walifungwa na Al Ahly goli 5-0 mwaka 1982,na wakapigwa tena goli 4-0 mwaka 1988
Sema yanga atapigwa. Timu zimebadilika unajilinganisha na Ahly.Team zote mbili zimebadilika sana hivyo tunategemea kuona mechi nzuri.
Yote hii Ni Uhuru kuzidi."Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-
Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi
Mechi walizocheza
Hawa miamba wamekutana mara 4
Al ahly kashinda mechi 2
DRaw 1
Yanga kashinda mechi 1
NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Na kama umewahi kukandwa Tano na Al ahlyKama timu yako haijawahi kukandwa 5 na Simba nyoosha mkono juu [emoji109]
Tatizo mlikandwa Tano ..... Al ahly anapigikaYote hii Ni Uhuru kuzidi.
Yanga haijacheza makundi Cafcl miaka 25 iliyopita. Wakati Al Ahly amecheza karibia miaka yote hiyo na kutwaa ubingwa zaidi ya Mara 3.
Halafu leo unavimbiwa unakuja kutuambia rekodi zinambeba Yanga!
Uchovu wa akili!
We utakuwa umeanza kuangalia mpira juzikati, mechi ya Simba kushinda Yanga 5-0 ilikuwa ya mchongo kutokana na mgogoro mkubwa uliokuwepo jangwani, ilikuwa 2012, Mimi niliangalia hiyo mechi nakumbuka vizuri, wachezaji wa Yanga hawakumtaka Mwenyekiti na kulikuwa na ugomvi mkubwa jangwani wa Yanga asili versus Yanga Kampuni , hebu hivi Sasa waambie papatu papatu Simba waifunge Yanga tano bila, mkiweza nakuwa kolowizard!Hapana mkuu mi ni shabiki wa ile timu ilokandwa 5 na simba hapo lupaso [emoji23]
Hivi yanga wameshawahi kukubali kufungwa na Simba kihalali?We utakuwa umeanza kuangalia mpira juzikati, mechi ya Simba kushinda Yanga 5-0 ilikuwa ya mchongo kutokana na mgogoro mkubwa uliokuwepo jangwani, ilikuwa 2012, Mimi niliangalia hiyo mechi nakumbuka vizuri, wachezaji wa Yanga hawakumtaka Mwenyekiti na kulikuwa na ugomvi mkubwa jangwani wa Yanga asili versus Yanga Kampuni , hebu hivi Sasa waambie papatu papatu Simba waifunge Yanga tano bila, mkiweza nakuwa kolowizard!