Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Mechi itakuwa ya upande mmoja, kama timu inaelemewa na timu ndogo kama ihefu huwezi sema eti tutegemee utakuwa mchezo mzuri
 
Record kwa mfumo huo huo, umekutana Medeama mara 2, Ume draw nae Dar, Ghana kakupiga 3-1, kisha unaongea kirahisi tu utachukua point sita.

Michuano yenyewe una miaka 25 haujacheza,kiburi cha shirikisho kinakuongopea. Ihefu kaishakuonyesha mapema tu kuwa una mikwara tupu, kabla yake almanusura utoke draw na Namungo🤣🤣🤣.

Ktk hilo kundi wageni ni wewe na Medeama na mtaishia hapo hapo. Wakati huo jabali lenu litaenda robo fainali.
 
Yanga Ina kikosi mzee
 
Haya ukaenda fainali shirikisho, lakini ulivyokutana na Simba ukatolewa mwiko nyuma mara mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukutane fainali CAF champions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…