Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

Records zinambeba Yanga Kwa Al ahly

"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-

Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi

Mechi walizocheza

Hawa miamba wamekutana mara 4

Al ahly kashinda mechi 2

DRaw 1

Yanga kashinda mechi 1

NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Mechi itakuwa ya upande mmoja, kama timu inaelemewa na timu ndogo kama ihefu huwezi sema eti tutegemee utakuwa mchezo mzuri
 
"Yanga atampiga Al Ahly na atachukua alama sita kwa Medeama."-

Japo mechi itakuwa ngumu... lakini itakuwa ni ya kisasi

Mechi walizocheza

Hawa miamba wamekutana mara 4

Al ahly kashinda mechi 2

DRaw 1

Yanga kashinda mechi 1

NB: Kuna timu ilikandwa 5_0 [emoji23]View attachment 2774179
Record kwa mfumo huo huo, umekutana Medeama mara 2, Ume draw nae Dar, Ghana kakupiga 3-1, kisha unaongea kirahisi tu utachukua point sita.

Michuano yenyewe una miaka 25 haujacheza,kiburi cha shirikisho kinakuongopea. Ihefu kaishakuonyesha mapema tu kuwa una mikwara tupu, kabla yake almanusura utoke draw na Namungo🤣🤣🤣.

Ktk hilo kundi wageni ni wewe na Medeama na mtaishia hapo hapo. Wakati huo jabali lenu litaenda robo fainali.
 
Record kwa mfumo huo huo, umekutana Medeama mara 2, Ume draw nae Dar, Ghana kakupiga 3-1, kisha unaongea kirahisi tu utachukua point sita.

Michuano yenyewe una miaka 25 haujacheza,kiburi cha shirikisho kinakuongopea. Ihefu kaishakuonyesha mapema tu kuwa una mikwara tupu, kabla yake almanusura utoke draw na Namungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ktk hilo kundi wageni ni wewe na Medeama na mtaishia hapo hapo. Wakati huo jabali lenu litaenda robo fainali.
Yanga Ina kikosi mzee
 
Haya ukaenda fainali shirikisho, lakini ulivyokutana na Simba ukatolewa mwiko nyuma mara mbili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukutane fainali CAF champions
 
Back
Top Bottom