Pale Kidimbwi huwa wanaogelea na kuchinjwa nani?Ngoja niangalie weather conditions ya Lusaka kwa sasa ili nijue kama kutakua na maji maana mabata wanapenda maji.
Kama hakuna maji kwenhe pitch ujue mabata wanachinjwa wanakua kitoweo cha Christmas [emoji1762]
Kwa timu ipi mliyonayo nyie Uto..!?Kwa mpira huu tar 11 bora msilete timu
Hapa ndo nimegundua kuwa mpira ni mahesabuKabisa urudi fasta.
japo mi sijafurahi sana uko mbeleni kwenye makundi sijui itakuwaje?
Hongereni kwa matokeo ....Tukutane jmamosi kwa mkapa
Lete Maneno Umekwisha
Angejiita mjinga mimi, ingefaa sana.Majina mengine yanaakisi uhalisia.
Naona umebadilisha lughaKwa mpira huu tar 11 bora msilete timu
Ee Mungu tubariki sisi Wazambia ili tupindue meza, aamin
Lialia FC[emoji196][emoji196] kazi mnayo.Nawatakia kilalaheri red arrows.....wawachome mishale minne thimba maji.
Spirit imepungua waliingia nayo ndogo Dilunga kaimwagaIle spirit yao imepungua baada ya kurusu goli
Eti Kuna watu- bado wanaimani na kiwango cha Mkude- Mkude sio mkabaji- Ndio maana Kotei- Fraga na Lwanga walimpora namba- kwa sasa anacheza kwa kuwa hakuna namna- na katika nafasi ambayo Simba bado imekosa mchezaji sahihi kwa muda mrefu- ni kiungo mkabaji na mshambuliaji.huyo ndie anaigharimu timu, sijui kwann wanampanga huyo jamaa
Msimu mbaya kwa simba ni kuingia group stage shirikisho, msimu mzuri kwa utopolo ni kuifunga Simba.Kwa mpira huu tar 11 bora msilete timu
Hii comment niliiweka akiba nije kuijibu baada ya mechiUkitoka ruksa kurudi ila wenzio wanakukata mkia.
Wachezaji wa Red arrows kilichowaponza ni ile hali ya kuwadharau mpinzani baada ya kupata goli mbili. Yule beki yaani kacheza utafikiri wako wenyewe tu uwanjani mpaka akawachomesha wenzieHapa ndo nimegundua kuwa mpira ni mahesabu
Kama vita tu, huwezi kutoa mabomu yote stock kwa adui ambaye unammudu kwa manati
Imeishaa Simba sc wanapeta mbele mwalimu kajua kuziba njia kwa kuongeza mabeki bila kutoa bekiUkweli mchungu. Simba wakiendelea kucheza hovyo hivi.... jamaa wanaweza kurudisha magoli yaliyosalia.
Utopolo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa mpira, halafu wenyewe wanakata vitunguu tu jikoni.Tusubiri tuone. Pona pona yao waweke guard ya maana half time wasiruhusu goal lolote mpaka dakk ya 80 labda ndo wafungwe 1.
But wakijichanganya wakawapa nafas kupata goal 2 first half, wameisha. Zitachomolewa zote na zingine kuongezwa.
Basi kongole ziende kwa idara ya habari hapa niko profesa makovu nikishirikiana na OKW BOBAN SUNZU na wadau wengine wa simba bila kuwasahau na makakakuona wa utopolo sharauti kwaoKwa mara ya kwanza Leo naona umuhimu wa Hizi thread za Live...
Nipi eneo ambalo CCM wanapatiaga kura...mtandao ni shida
Na Radio inasikikia Moja TU ...Radio Maria
Utabaki unakata nyanya peke yako.Arrows nifurushie hawa mbumbumbu kunako CAF confederation league.
Uwe unaangalia na mazingira, huku kwetu ni kigiza mida hii wakati wenzetU huko ni kijua cha utosi na ndio maana kila baada ya dakika tano wanenda kunywa majiN
Naamini hawachezi Red Arrows pekee, hizo 5 wamepewa wote wazichangamkie.