Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Ngoja niangalie weather conditions ya Lusaka kwa sasa ili nijue kama kutakua na maji maana mabata wanapenda maji.


Kama hakuna maji kwenhe pitch ujue mabata wanachinjwa wanakua kitoweo cha Christmas [emoji1762]
Pale Kidimbwi huwa wanaogelea na kuchinjwa nani?
 
huyo ndie anaigharimu timu, sijui kwann wanampanga huyo jamaa
Eti Kuna watu- bado wanaimani na kiwango cha Mkude- Mkude sio mkabaji- Ndio maana Kotei- Fraga na Lwanga walimpora namba- kwa sasa anacheza kwa kuwa hakuna namna- na katika nafasi ambayo Simba bado imekosa mchezaji sahihi kwa muda mrefu- ni kiungo mkabaji na mshambuliaji.
 
Hapa ndo nimegundua kuwa mpira ni mahesabu

Kama vita tu, huwezi kutoa mabomu yote stock kwa adui ambaye unammudu kwa manati
Wachezaji wa Red arrows kilichowaponza ni ile hali ya kuwadharau mpinzani baada ya kupata goli mbili. Yule beki yaani kacheza utafikiri wako wenyewe tu uwanjani mpaka akawachomesha wenzie
 
Tusubiri tuone. Pona pona yao waweke guard ya maana half time wasiruhusu goal lolote mpaka dakk ya 80 labda ndo wafungwe 1.
But wakijichanganya wakawapa nafas kupata goal 2 first half, wameisha. Zitachomolewa zote na zingine kuongezwa.
Utopolo kila mtu anajifanya ni mchambuzi wa mpira, halafu wenyewe wanakata vitunguu tu jikoni.
 
Kwa mara ya kwanza Leo naona umuhimu wa Hizi thread za Live...
Nipi eneo ambalo CCM wanapatiaga kura...mtandao ni shida
Na Radio inasikikia Moja TU ...Radio Maria
Basi kongole ziende kwa idara ya habari hapa niko profesa makovu nikishirikiana na OKW BOBAN SUNZU na wadau wengine wa simba bila kuwasahau na makakakuona wa utopolo sharauti kwao
 
N

Naamini hawachezi Red Arrows pekee, hizo 5 wamepewa wote wazichangamkie.
Uwe unaangalia na mazingira, huku kwetu ni kigiza mida hii wakati wenzetU huko ni kijua cha utosi na ndio maana kila baada ya dakika tano wanenda kunywa maji

Siku nyingine mechi kama hii wachezaji waingie na saa zao, ukishaona dakika 90 zimetimia unatoka uwanjani
 
Back
Top Bottom