[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. eti Madrid ya buzaKwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
Nawasiwasi na hii gameLeo hata mbele hatuendi
Nimesoma hii comment yako moyo wangu ukataka kuchomoka.Kama Galaxy walifunga goli tatu ndani ya dk 45 sioni sababu hawa jamaa kushindwa kupata goli 2
Hata onyango angekuwepo asinge rescue hili goli, goli limepigwa mita ndefu kutoka goliniKwanini Onyango Ameanzia Bench? Hili Goli sio la sisi kufungwa
Jamaa wanapiga cross nyingi na wanaruka free headers unmarked ni vile tu wamekosa ufanisi.Kwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
Uuuushiiiindweeeee .. WeeeuuuweeeMaajabu ya simba utakuta wanapigwa nne tena leo!sio wa kuwaamini
Uchezaji wa hivi ndio ule uchezaji ambao simba walikuwa wanazabwa goli tano tano na akina Al ahly na As Vita. Hawa jamaa wangekuwa watulivu na wapo makini basi wangekuwa wameshamaliza deni lao mpaka sasa.Utadhani tupo pungufu
Aliyesajiliwa amecheza alashindwa perfom ni nani?Tulisajili magarasa hakuna jipya.
tulia na weweKwa kiwango hichi tarehe 11 tunajipigia kiulaiiiiiini.....mapema tu...Fistooooooooooooo.........