Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Kwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. eti Madrid ya buza
 
Kwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
Jamaa wanapiga cross nyingi na wanaruka free headers unmarked ni vile tu wamekosa ufanisi.

Wawa mzugaji, mipira ya juu sio mzuri.
 
Simba kafika golini kwa red arrow kwa dakika kama 5-7 baada ya hapo mpira umechezwa kwenye box la manula

Kweli kwa style hii na hiyo tarehe 11 sijui, kwanza mpira wenyewe sitaangalia mamamake
 
Jinsi tunakaba ni Kwa kuangalia Sana space na sio Ile kazi kazi na ndo maana mkude utamuona anazunguka tu sababu sio type yake ya mpira anaouweza kuucheza .....

Hizi ni formation za mambele huko ndo huwa wanaziweza kuzicheza vizuri sababu wachezaji wa kucheza hivyo wapo .....
tubadili mbinu.

Mtazamo wangu.
 
Naombea 5imba ipite tuje kushuhudia zile tano tena .Msikate tamaa watanzania tupo nyuma yenu tunawatakia mema .
 
Back
Top Bottom