Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mechi mbovu kuwahi kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ndo timu itakayoruhusiwa kutoa burudani ya soka peponi huko.Nawakumbusha Simba ni Timu kubwa
Uzi wa updates mechi ya leo.uliyeandika uzi huu nifundishe kubet aisee sio kwa ubashiri huu dah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba mwaka huu inataka kutufanya tupungukiwe na nguvu za kiume.....
Wakishaifunga simba wao hawajali ubingwa wala ushindi mwingine wanarelaxxx!!![emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Utopolo mambo kama haya ya kufuzu makundi ni magumu kwao yaani..!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]umenifanya ntabasamu asubuhi..Naomba kuuliza, kwa matokeo haya tumeweza kuzirudisha nafasi zetu nne? Maana awa wenzetu tusipo wapigania hizi nafasi hawatakaa washiriki mechi za kimataifa
Hongera sana kwa kuvuka lakini bado wewe ni shabiki usiye na mkia.Hii comment niliiweka akiba nije kuijibu baada ya mechi
Unasemaje sasa niijibu au niiache?
Halafu unawaachia uwanja wenzio wanasawazisha magoli yao yote na kujipatia ziada ya bao moja.🤣Uwe unaangalia na mazingira, huku kwetu ni kigiza mida hii wakati wenzety huko ni kijua cha utosi na ndio maana kila baada ya dakika tano wanenda kunywa maji
Siku nyingine mechi kama hii wachezaji waingie na saa zao, ukishaona dakika 90 zimetimia unatoka uwanjani
wanasawazishaje na timu pinzani haipo uwanjani?Halafu unawaachia uwanja wenzio wanasawazisha magoli yao yote na kujipatia ziada ya bao moja.🤣
Ila mkuu una ndimi mbili mbili. Ukipata matokeo unayoyataka kocha ana mbinu. Ila simba ilivyopigiwa ule mpira uliongea mengi mpaka uliahidi kuondoka likiingia goli lingine. Ila ukweli ni kwamba Arrows wametoka kwa uzembe wao wenyewe nawala sio kwa mbinu za kocha. Kipindi cha kwanza tu walikuwa wanamaliza madeni yao yote. Simba walizidiwa idara zoteHiyo ni mbinu ya kocha mzee we unataka ashinde na ugenini goli tatu?
Maajabu ya yanga utakuta wanapigwa nje ndani!Maajabu ya simba utakuta wanapigwa nne tena leo! Sio wa kuwaamini
Uto at its peak!Ngoja niangalie weather conditions ya Lusaka kwa sasa ili nijue kama kutakua na maji maana mabata wanapenda maji.
Kama hakuna maji kwenhe pitch ujue mabata wanachinjwa wanakua kitoweo cha Christmas [emoji1762]
Ndo hapo tupo tofauti na Topolo bandWakishaifunga simba wao hawajali ubingwa wala ushindi mwingine wanarelaxxx!!![emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]
Tufungeni hiyo tarehe 11 maana ndio malengo yenu ila swala la ubingwa msahauPablo hana mbinu yoyote. Tarehe 11 anatupiwa virago. Timu gani inacheza kama mbagala market?
So what?Kenya's Onyango demands double salary to extend Simba SC stay
With his deal with the reigning Tanzania Mainland League champions ending at the end of the ongoing campaign, the 28-year-old has made clear his demands to remain at the club.
What does Onyango want?
According to Mwanaspoti, the Harambee Stars defender has demanded his salary to be doubled. He currently earns about Ksh. 295,000 a month, but in his new deal, the centre-back has asked for Ksh. 565,000.
On top of that, he has demanded Ksh. 3,000,000 as a sign-on fee to extend his stay at the club for two more years.
Other players who are negotiating with the club for contract extension are Tanzania international Aishi Manula, Rally Bwalya, Hassan Dilunga, Meddie Kagere, Chris Mugalu, Yassin Mzamiru, Jonas Mkude, Pascal Wawa and Bernard Morrison.
What is Simba management saying?
Club's CEO Barbara Gonzalez has assured fans and supporters that the management is working hard alongside the technical bench to extend the contracts of the players they will need beyond this season.
"I am assuring Simba fans everything is on the pipeline and they should remain calm," Gonzalez said.
"We have planned ourselves accordingly and we have enough money to retain all our best players.
"Simba have many quality players for long-term targets and we are not ready to let them leave. Before the season ends, we will sort out contractual issues in the team."
The Msimbazi-based charges have not been at their best this season. They are trailing their bitter rivals Yanga SC by 10 points. The latter have won 11 games from the 13 they have played, and secured two draws, scoring 23 goals and conceding four.
The defending champions, who are on 25 points, have managed seven wins from 13 games as well, four draws and two losses. Their attacking department has been struggling; they have scored 14 goals and conceded six
Source : Goal.com
huyo jamaa ni kama kadata hivi.So what?