Red Worm: Kwa kulishia Kuku, Samaki, na vile vile kutengeneza mbolea ya Maji

Red Worm: Kwa kulishia Kuku, Samaki, na vile vile kutengeneza mbolea ya Maji

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kilimo cha Red worm kwa huku kwetu bado tuko nyuma ila kwa wenzetu Red worm ni biashara na red worm ina kaz nyingi sana na faida kubwa mno.

1. Kulishia kuku- Ina kiwango kibwa sana cha protein hivyo kuku wako wakitumia red worm watakuwa na ukuaji mzuri sana.

2. Kulishia samaki

3. Inaweza zalisha ORGANIC COMPOST na FOLIAR

Inatengeneza organic fertlizer ambayo itatumika kwenye organic farming hasa kama unataka kulima organicaly

Inatengeneza organic foliar kwa ajili ya organic farming na vile vile kwa ajili ya kuzalishia hydroponic

Kwa sasa niko kwenye michakato ya kuzna kuzalisha sana kwa ajili ya kulishia kuku na kwa ajili ya kutengeneza ORGANIC FOLIAR mabyo nitakuwa nitumia kwenye Hydroponic yangu.

red_worms.jpg
 
Mkubwa elezea kidogo hao jamaa wanalimwaje mie bado niko gizani kabisa. Thanx
 
Toa darasa kaka ili na sisi tuliombali tuweze kufanya tukiwa huku tulipo
 
Nina some video clip nitumie Tel no niwatumie by whatsApp
 
Nina some video clip nitumie Tel no niwatumie by whatsApp

Mkuu nitumie hiyo Video Clip kwa +971 559093177.
Nina maandalizi ya kufuga kuku na nawaza kuanza mradi mapema 2015
 
Nawahitaji kwa wingi nilishe samaki wangu, nafahamu wanakuza samaki haraka sana but sijui jinsi ya kuwazalisha kwa wingi. Plz help me.
 
Mkuu umetisha, hiyo kitu ni ya mhimu sana. Tupia link ya video humu ili wale tusiokuwa na whatsap tuipate hapa.
 
Nina some video clip nitumie Tel no niwatumie by whatsApp

Video ndo Worm? hili ndo tatizo la Wabongo tunapenda chep sana, Red worm ninao zungumzia sio wale unao wajua wewe hawa ni HYBREED RED WORM
 
Back
Top Bottom