Uchaguzi 2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

BIBLIA inasema:

"26 Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa Bwana"
~Mithali 29 :26~
 
Wapinzani, eleweni vizuri hapa. Election expert anaposema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki hamaanishi uchaguzi ulikuwa perfect. Anachoomanisha ni kwamba winner angebakia yule yule endapo kasoro zilizobainika zisingekuwepo! Hii ndiyo standard inayotumika hata mahakamani.
 
Njaa ikihama tumboni kupanda kichwani ni tatizo kubwa sana.
Yaani ynaweza hata kusahau mama yako ni wa jinsia gani
 
44% wamesema uchaguzi ulikua huru na wa haki, hao 56% walobaki wamesemaje?😂😂😂
 
Anayebishana na wasomi wetu atakuwa na matatizo ya akili.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mimi nilisimamia,kusema ukweli mtu kama Lissu alipata kura kidogo kweli,na hapa ni ngome ya CDM.
Mambo mengine tusilaumiane bure jamani,watanzania wengi sikuhizi wamekuwa kama wajumbe,kujaza nyomi sio inshu tena,hizo ni siasa za analogia
 
Profesa uchwara huyu,Hamna lolote hapo
 
Hivi kuna mtu anaweza kuinuka na kupinga kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru, anajitakia RIP in advance
 
Hivi hizi Taasisi zipo kwa mujibu wa sheria
 
Hizi Asasi zinatumikaje katika uendeshaji
 
Kalale na hiyo ripoti huko hukoba kabla hawajakutafuna alive kwenu hukoba professor uchwara...idiot times 2
 
Hii takataka inaongozwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…