Uchaguzi 2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

Uchaguzi 2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

Mtafiti mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.

Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema uchaguzi ulikuwa huru na haki na haukuwa na hitilafu yoyote ile. Na 40% ya waangalizi wake wamesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki lakini uligubikwa na hitilafu chache ambazo haziathiri matokeo kwa vyovyote vile.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Mkuu hovyo wa Taasisi hovyo anatumia nafasi ya Uchaguzi hovyo kupata uteuzi hovyo akaongeze namba ya PhD hovyo za jalalani kwenye Serikali hovyo ijayo. Homeboys hovyo wanatumia kila mbinu hovyo kunufaika na hali hovyo tuliyofikishwa!
 
Na yule mzungu
Rubbish. Hili jitu tulisharidharau. Likapumzike tu. Eti propesa
Na yule mzungu aliyesem CCM inaongoza baadhibya miji mikubwa kwa 75 hadi 90 nae mlimdharau?
Nanyi mkatoa viuchunguzi vyenu visivyokuwa na kichwa wala miguu na labda vilifanywa na salary slip kuwa mna ushindi wa sijui 80% ndo miliviamini?
Nasema mtaendelea na kusonya tena miaka mitano 😁😁😁😁
 
Nafikiri prof Mukandara amesahau kuongezea uchaguzi huru, wa haki, usalama na upendo. 😅 😅 😅
Matumbo haya yanatudhalilisha wajameni!

Everyday is Saturday................................😎
 
Election expert anaposema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki hamaanishi uchaguzi ulikuwa perfect. Anachoomanisha ni kwamba winner angebakia yule yule endapo kasoro zilizobainika zisingekuwepo! Hii ndiyo standard inayotumika hata mahakamani.
Kwa hiyo wasingeingiza kura feki pamoja na kuzuia baadhi ya mawakala kuingia vituoni, na figisu nyingine nyiing, matokeo yangekuwa hayo hayo??!!!
 
Huyo na Bashiru si wote ni wahaya. Hapo hamna kitu ni takataka tu hizo.
 
Wapo wanaosema utafiti hupingwa kwa utafiti sijui linakuwaje sasa.
 
Tulimstukia mapema sana alipokutana na Bashiru Ally ili kutoa utafiti wa uongo na tukamlipulia mbali .

Mnafiki mkubwa sana huyu mzee !
Anamzidi shehe Ponda aliyewaambia Lissu kashinda uchaguzi anasubiri kuapishwa tuu.
Manyumbu yakashangilia Sasa hayaulizi mbona haapishwi?
 
Back
Top Bottom