Uchaguzi 2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

Kwa hiyo wasingeingiza kura feki pamoja na kuzuia baadhi ya mawakala kuingia vituoni, na figisu nyingine nyiing, matokeo yangekuwa hayo hayo??!!!

Mimi na wewe hatujashuhudia yote yaliyojiri. Election observers wana firsthand knowledge ya yaliyojiri.
 
Wanatamani sana Kuteuliwa Hii nchi unaweza kujiuliza huyu ni Prof kweli???? Uwezo wakè wa kutambua mambo ukoje??? REDET Ilishageuka wala haiko katika uhalisia tena.
 
Hizo taasisi zinajishusha hadhi tu,na kwa utwala tulionao ni lazima wawe hivyo,polisi,jeshi vyombo vya usalama vyote vimekuwa magoigoi ,vinadanganywa na propaganda rahisi sana.
Sema tanzania hatuna vikosi vinavyojiamini kama kule sudani au Libya au hapo jirani Congo naona watu wangegawana mbao ikawepo south Tanzania na tanzania west.
Hata hivyo naona joto la shida halijawagusa ,likiwagusa na wao watatoka uvivu. nahisi Tanzania tunaongozwa na genge fulani lililojipenyeza sehemu nyeti
 
Watu wa Redet upewa teuzi mfano ubalozi, kweli watasema haukuwa huru na haki? Halafu, yawezekana ndio timu ile ile. Halafu, hizo hitilafu kweli hazikuathiri matokeo wakati ukute kulikuwa na concertina effect?
 
🤣🤣🤣. Shida hii. Sijui hao waandishi wamemuuliza ni hitilafu gani hizo na hao watafiti walitafiti nini kujua kwamba hitilafu haziathiri matokeo?

Hitilafu yoyote inaathiri matokeo somehow. Prof should not be this stupid.
Halafu badala ya kutoa taarifa- ujumbe wa pamoja kama yeye, anawanukuu waangalizi kwa kutumia percetages!
 
We know your predisposition guys. Professor wa maana kwenu ni yule anayekubaliana nanyi! Hata Prof. Lipumba ameshawahi kuwa wa maana sana kwenu.
Upo sahihi sna kbs ila sio kwangu sio Lipumba sio Zitto sio Lissu sio Magufuli sio Mbowe kwangu wote wachumia Tumbo.
 
Sawasawa bwashee kwn huyu nae c ile product ya jalalan au co??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…