Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Juzi katika kipindi cha Mwangaza wa jamii wachambuzi wa kipindi hicho kilimtaja kwa jina Mh peter Msigwa kwamba aliandika barua kwa maaskofu wa Iringa kwa kuwashukuru kumpeleka bungeni na pia eti atahakikisha Imani ya dini yake inapewa kipaumbele kwa nguvu zote Iringa Mjini
Walisema kwamba barua hiyo wao wanayo na kudai inaweza kuleta machafuko ya kidini nchini hasa katika jimbo la iringa
MY TAKE
Kama hili ni kweli basi taifa letu siku yoyote tunaweza kuliangamiza
Kama uongo TUNANGOJEA KAULI ya Mh msigwa kwani haya ni MADAI MAZITO yalionasa kwa jamii ya kitanzania kwa sasa.
MATUSI , KEJELI KUHUS REDIO IMAAN HICHO NI KITU CHENGINE
Hoja hapa Ukweli na Uongo kuhusu BARUA YA MH PETER NSIGWA na kama Kweli tunajenga au tunabomoa taifa?