Redio imaan: Tunayo barua ya peter msigwa kwenda kwa maaskofu kuwadhibiti waislam wa iringa

Status
Not open for further replies.
Jamani kazi ya Redio ni kuelimisha umma na sio kuchochea vurugu. Hakuna kitu kibaya kama vyombo vya habari endapo kama vitatumika vibaya. Serikali ipo wapi?. Mimi naamini na vigogo wamo ndani yake, maana redio haiwezi kuwa chochezi na ikafumbiwa macho.

BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
He/She sounds like Maralia Sugu

uKITAKA KUPOTEA JF. PIGA VITA MFUMO KRISTO. UTATOWEKA TU. PROPAGANDA ZITAANZA NA MWISHOWE KUTOWEKA.
Mungu ametujaalia sasa kuwa na mitandao ya facebook
 
hii redio mara nyingi siielewagi hata kidogo.!
 
Iringa ipi hiyo itakayochafuka?? Msigwa ni jembe sa hiv iringa full mataa barabaran af mwez wa 8 lami zinasambazwa mjini hapa, shame on you radio imaan
 
Kama huamini kama mfumo kristo unaanguka tz. soma tamko la maaskofu na mapadri. ni miaka 15 tangu mwalimu nyerere afariki
hogwash, that's what it means.
Nyunzo, kumbe umemshtukia. Hana herufi kubwa wala koma......anaandika kama anafanya yale mambo flani.
 
Last edited by a moderator:
uKITAKA KUPOTEA JF. PIGA VITA MFUMO KRISTO. UTATOWEKA TU. PROPAGANDA ZITAANZA NA MWISHOWE KUTOWEKA.
Mungu ametujaalia sasa kuwa na mitandao ya facebook
mtu asiyejua kuandika kwa ufasaha anaitwaje kwa kiswahili?..........Ngumbaru au aliyepata Elimu ya Ngumbaru?
 
Kwa msiojua FUNGUS za MDOMO zinasambazajwe. Mimi huwa sipendi makala ndefu bana wakati picha zipo bana

View attachment 78747

Hapa kila mtu hutia mkono kwenye sinia, na pembeni huwa ipo ndoo ya chuma yenye maji ya kunywa. Barafu kadhaa hutumbukizwa humo ili kinywaji ipoe na kombe moja la plastiki (nusu lita) huwekwa na kila mtu huchotea hicho hicho na kunywea hicho hicho.

Unachotakiwa kufanya ili muende sawa, ni kula kwa spidi. Ukishoboka na nyama (ambazo huwa hazipikwi zikaiva) wenzio wanamaliza ubwabwa (al-maaruf UBECHE). Kila mmoja huja na ndizi au pilipili kwani huko huwa hazigawiwi. Watoto wanaopiga DUFU wasipopewa special attention hakyanani wanagoma kupiga ngoma mpaka watishiwe kucharazwa bakora.

Ikiwa muandaaji ana mkono imara (ana uwezo wa kuafodi 20kg) basi sherehe huishia hivi:

View attachment 78748
 
mbona husemi ITV kwa propaganda dhidi ya waislam? au kwa sababu mmiliki kakabidhiwa phd ya biblia? tuache chuki binafsi. tujenge nchi yetu
 
Akili kumkinga,wajinga ndio waliwao kwa kushabikia mambo yasiyowahusu.Ukweli au uongo hupitia kwenye chujio la bongo yako...fikiri sawasawa kabla ya kushabikia jambo!!!FUKUZA UDINI,EPUKA MAFARAKANO YASIYO NA TIJA.
Mungu awabariki sana!!!!
 

haa haaa

nyie si mlisema mnasusia bidhaa na services za wamarekani eti kwasababu wamemchinjia osama baharini ... sasa mnakimbilia facebook tena ya wamarekani ... kulikoni umekaa kwenye keyboard unabofya Windows OS, Android OS, IOS na bado mnakandamiza coca cola

think twice, usishindane mbio na upepo
 

Naamini wana mambo mengi tu ya kujadili basi wanajitia uchizi wa kuwajadili walio mbele yao. Eti mimi na akili zangu, nichukue jiwe kuchambia! Ni wagumu eeh, manake jiwe si linachubua au kuna utaalama wake.

Nikimuangalia yule anayehubiri ujinga pale Mwenge na kujenga picha ya jiwe linatumika kwa mtindo huo huwa najisikia kucheka sana. Popote ulipo cacico nisamehe kwa kukukataza kucheka, kiukweli nilikukosea haki yako ya msingi, cheka mama weeee, inachekesha sana.

Nikitazama kanzu ya mhubiri namkumbuka jogoo wetu mweupe miaka ya 90. Tulikuwa na jogoo aliishi miaka 8 kiasi akawa wa njano badala ya mweupe sababu ya kukomaa. Kanzu ya mhubiri wa Mwenge nayo ni njano kama manyoya ya jogoo-babu kwa kutofuliwa ipasavyo
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukatumia silaha ya adui wako kumua adui pia. usijali. jibu hoja ya wakiristo watz mnasema mumesoma. lkn nchi yetu inaanguka kiuchumi.
 
Ikiwa wachangiaji wa humu ambao ni great thinkers wanatoleana mapovu namna hii, Itakuwaje wanaokaa vijiweni, ambao wamekata tamaa ya maisha na wale wenye chuki dhidi ya waliofanikiwa?

Mungu wangu tunaelekea wapi Watanzania?

Dhana ya mfumo Kristo ilichoochewa sana kipindi cha uchaguzi na sasa IMESTAWI na INAELEKEA KUSHAMIRI!!!!

THIS IS REALLY SCARING!
 
Muhusika alishapata taarifa wengine mnazidi kupayuka kama nyinyi ndio mliotajwa
 
Muhusika alishapata taarifa wengine mnazidi kupayuka kama nyinyi ndio mliotajwa
waislam wanaposema mfumo kristo unadhani nini? ndio kama hii. wao madhali kafanya mkiristo dhidi ya muislam litatetewa kwa nguvu zote. hiyo ndio tz
 

mjomba ungejipanga kwanza ndo ukaja kuchangia we kama hauoni hata kusikiliza unashindwa?Taifa hili dhulma ipo ya wazi kwa waislamu na ushahidi upo wa kutosha mfano michache ni kufelishwa waislamu kwa maksudi na Necta na kwa taarifa yako kuna siri kubwa ambaye siku tukijakuiweka wazi basi Taifa hili bila shaka halitakalika kwa uovu wa muda mrefu wa Necta walioufanyia Umma wa kislamu.HAYO MENGINE MNAYAONA WENYEWE WALA HAINA KUZUNGUMZA.MY INTAKE WAKRISTO WANABLAME WAISLAMU NA KUWAITA WACHOCHEZI KWA SABABU YA KUDAI HAKI ZAO ZILIZOCHUKULIWA MUDA MREFU WENYEWE WAKIWA KIMYA ILA KAMA USHABIKI HUU WA WAKRISTO DHIDI YA WAISLAMU WANAPODHALILISHWA UTAENDELEA ATHARI YAKE CI WAISLAMU TU BALI NA NYINYI MTAIPATA KUMBUKENI TUNAISHI PAMOJA MITAANI,WATOTO WETU WANASOMA PAMOJA MASHULENI.HAKUNA HASIRA MBAYA KAMA MTU ANAPODAI HAKI ANAWEZA FANYA LOLOTE KWAKUWA ANAONA YEYE HANA HAKI.
 
Miaka 13 tangu mwalimu atotoke mfumo kristo unaangauka. jee ikifika miaka 20 ijayo?
 
Kwa hii michango niliyoisoma hapa, nimeamini kwamba Wakristu (sitawaita kwa jina la kuchukiza) hawawapendi Waislamu, nimegundua wengi wametawaliwa na udini wa hali juu na wana roho mbaya sana... inawezekana katika mafundisho yao wanaambiwa Muislamu ni adui yao namba moja, dah hii ni hatari sana katika jamii yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…