Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yamebadilika sasa. Fungulia redio yako ufurahi.Watu hawako serious ni mizaha mizaha tu maredioni. Sijasikiliza redio huu mwaka wa 10
Na wachambuzi wa mpira ndo wanaongoza kwa kuwa na mishahara mikubwaRadio Tanzania kipindi cha michezo saa 2 kasorobo mpaka saa 2 kamili.
Robo saa inatosha kipindi cha michezo. siku hizi radio inakipindi cha michezo asubuhi masaa matatu na jioni masaa mawili na kila kipindi cha katikati kina segment ya michezo.
Yaani unaangalia mechi azam tv ikiisha unaangalia highlight ya mechi hiyo hiyo ikiisha unaangalia uchambuzi wa mechi hiyo hiyo. Ukimaliza unaweka wasafi fm unaskiliza uchambuzi, then unahamishia clouds unasikiliza.
Then asubuhi unasikiliza wasafi fm wanachambua, masaa matatu. Mchana ETV wanachambua masaa matatu, mwishowe inakuwa nchi ya wachambuzi [emoji2]
Maisha ya Tanzania Bara ni michezo tu
Zamani watangazaji walikuwa waelewa kuliko wasikilizaji, siku hizi ni kinyume chake. Ni kweli usemayo. Ukitaka kuwa mpumbavu basi sikiliza radio.Zama hizi sio kila redio station ni ya kusikiliza
Unaweza kuwa pumbavu huku unajiona
Reasoning za ki MagufuliWatu wanatofautiana muda wa kufanya kazi, basi kwa mantiki hiyo basi vituo vya redio visirushe kabisa matangazo asubuhi kwasababu watu wanafanya kazi.
Naona umetumia same reasoning iliyotumika kuzuia bunge live eti mida hiyo watu wanafanya kazi muda wa kutazama tv wanautoa wapi.
Wanachambua hadi demu wa Pogba kavaa nini, anaishi wapi, anafanta nini na marafiki zake ni akina nani,Achana na hiyo, unamsikiliza mchambuzi anatoa maneno mepesi ambayo hata mtu wa kawaida ambaye kwake soccer ni jambo la mara moja anajibu. Unachambua kona ya Mesuit Ozil dakika 40 😂😂😂😂😂
Wachambuzi/ wachambaji wa simba na yanga. Wao timu nyingine haziwahusu.Radio Tanzania kipindi cha michezo saa 2 kasorobo mpaka saa 2 kamili.
Robo saa inatosha kipindi cha michezo. siku hizi radio inakipindi cha michezo asubuhi masaa matatu na jioni masaa mawili na kila kipindi cha katikati kina segment ya michezo.
Yaani unaangalia mechi azam tv ikiisha unaangalia highlight ya mechi hiyo hiyo ikiisha unaangalia uchambuzi wa mechi hiyo hiyo. Ukimaliza unaweka wasafi fm unaskiliza uchambuzi, then unahamishia clouds unasikiliza.
Then asubuhi unasikiliza wasafi fm wanachambua, masaa matatu. Mchana ETV wanachambua masaa matatu, mwishowe inakuwa nchi ya wachambuzi [emoji2]
Maisha ya Tanzania Bara ni michezo tu
🤣🤣🤣🤣si afadhali na hizo,
kuna wale wa mchongo pesa..yaani kuanzia asbh hadi jioni vipindi vyote wanachezesha bahati nasibu.
Unategemea wao wafanye Nini kama ndiccho Watanzania mnachokitaka...una nafasi ya kuondoka kwenyee huu Ujinga...usisikilize hizo Radio..Over!
Watanzania ni tofauti na watu wengine, uelewa wetu ni mdogo sana ndio maana tunazidi kuogelea kwenye dimbwi la umaskini
BBC wanafanya hivyo kwa sababu wanatangaza katika mabara na nchi tofauti zenye time zones tofauti. Hapa hata karedio cha wilaya kanatangaza mambo yalayale ya mpira asubuhi mchana na jioni!Hata ukiangalia BBC news unaweza kukuta habari ni zile zile kwa masaa mengi sana mpaka ije breaking news, logic ni kuwa watu mbali mbali wanaangalia news kwa muda tofauti.