Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa si ile Watu waliyoizoea bali ya Kesho itakuwa kama FC Barcelona au PSG FC kwa itakavyoupiga mwingi na kuwa Mabingwa wapya wa ASFC.

Halafu kuna Maabeki wenu Wawili huyo Mmoja wa Kati na yule wa Pembeni nimeshawaambia kuwa Fiston Mayele na Djuma Shabaan wana 'Pancha' Magotini ( na Wote Magoti yao ya Kulia ) hivyo kwakuwa tayari Ligi Kuu imeshamalizika wasiogope Kuwapanda ili watoke nje kabisa ili Kuwadhoofisha.

Yule Mido ( Kiungo ) wenu Mganda ambaye namkubali sana na natamani hata Simba SC wamsajili kwani anacheza zaidi hata ya Mwanangu Mwenyewe Mkude pale Shimo la Chini nimeshatoa Maelekezo kuwa apunguze sana nare nare ( anao anao ) na awe anaachia moja moja 'fasta' na akipata muda ampige sana Visukusuku Fei.

Kwa Babu ( Mtaalam ) tumeshamaliza na Shukran nyingi kwa Tajiri Bin Slum kwa kutupa Ushirikiano wa Fedha za Kumtafuta Chatu mwenye Mimba na Fisi Mweusi bila Kusahau Jogoo mwenye Matege na tumeshafanya Kazi Maalum yote hivyo tafadhali Maelekezo ya Kuingia Uwanjani Kesho kwa Miiko msiisahau tafadhali. Mnashinda....!!!

Na nyie Watu wa Tanga Kazi mliyotutuma 'Mafia' tumeshaimaliza hivyo Waambieni Wachezaji wenu Wapambane sana.
 
Mimba chanya zina kazi kweli
 
Pole mwana🦁,mabingwa wa muda wote,wananyanyua kwapa Kwa mara nyingine,jiandae kupata maumivu kama ya juzi,awamu hii hatutembei na basic Kila mchezaji na chopa angani.🤔
 
Mkuu Genta.ktk ubora wake

Back
Top Bottom