Refa Aragije kuwa makini sana tafadhali, kwani Kesho ukifanya Mzaha unaweza kujikuta unaishia ICU Meru Hospital

Mtoa mada,
Ni Ahmed Arajiga, hilo jina umeandika kwenye 'heading' si sahihi..!!
 
Huyo Aragije ndo naniiiii?
 
Usije ukakimbia uzi na kuleta sababu zisizokuwa na mashiko mkishagongeshwa ni angalizo tu nakupa
 
Duh!..wadau punguzeni ulozi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Popoma kwenye ubora wako
 
Tayari Sopu kashatupia kigoli cha uganga huko. Refa amalize tu mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…