Refa ashangilia goli la Yanga

Refa ashangilia goli la Yanga

Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Umeanza kushabikia mpira lini? Kaangalie Man u vs Liver game iliisha 1-1 goli la liver akifunga Patrick Berger refa alifanya nini
 
Umeanza kushabikia mpira lini? Kaangalie Man u vs Liver game iliisha 1-1 goli la liver akifunga Patrick Berger refa alifanya nini
kwa hiyo ni sahihi kwa vile huyo wa Ulaya alifanya pia?
 
Jamii forum imekusanya watu wengi, kuna watu wenye michango ya maana na kuna watu wenye michango ya kipuuzi.

Chakushangaza mpuuzi anaweza akaleta uziwake wa kipuuzi na aka komaa ku utetea.
Sasa wewe mwerevu ukikomaa ku mpinga mpuuzi, anaweza akatumia uzoefu wake kukushinda kwenye mambo ya ki puuzi.
 
kwa hiyo ni sahihi kwa vile huyo wa Ulaya alifanya pia?
Kama sio sahihi basi tutegemee kuona refa kwenye hiyo mechi ya Man U vs Liverpool kuchukuliwa hatua. Je una uthibitisho wowote kuwa alichukuliwa hatua yeyote au hata kuonywa?
 
Naomba mnioneshe huyo refa anavyoshangilia goli. Lakini pia yalifungwa magoli 6 hapo jana naombeni mnioneshe na hayo mengine anayoshangilia baada ya kunionesha hili la sasa
 
Back
Top Bottom