Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hata kocha wa timu pinzani alijisahau akaanza kushangilia kuanzia goli la tatuHata refa hushangilia, kikikiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kocha wa timu pinzani alijisahau akaanza kushangilia kuanzia goli la tatuHata refa hushangilia, kikikiki
Ni kweli refa Alishangilia goli la Berger,ni tukio lisilo la kawaida ndio maana ilikuwa ni habari kubwa hasa jibu la refa,Tangu goli la Berger uliona wapi kwingine refa akishangilia goli?Je sababu za huyu refa zinalingana na za refa wa EPL?goli hili ni kali sana kama la Berger?Umeanza kushabikia mpira lini? Kaangalie Man u vs Liver game iliisha 1-1 goli la liver akifunga Patrick Berger refa alifanya nini
Sio kufurahia tu amewashukuru GSM baada ya mchezo.Shukurani kwa mchezo na mzigo.Soka la Bongo.Niliwasikia mashabiki wakisema kocha wa KMC naye alikuwa anafurahia Uto wakimpiga mabao ni kweli?!
Huyu aliyechezesha mechi KMC na Yanga ni wapi kaonekana ameshangilia?Ni kweli refa Alishangilia goli la Berger,ni tukio lisilo la kawaida ndio maana ilikuwa ni habari kubwa hasa jibu la refa,Tangu goli la Berger uliona wapi kwingine refa akishangilia goli?Je sababu za huyu refa zinalingana na za refa wa EPL?goli hili ni kali sana kama la Berger?
Huku ndiko kushangilia sasaNi kweli refa Alishangilia goli la Berger,ni tukio lisilo la kawaida ndio maana ilikuwa ni habari kubwa hasa jibu la refa,Tangu goli la Berger uliona wapi kwingine refa akishangilia goli?Je sababu za huyu refa zinalingana na za refa wa EPL?goli hili ni kali sana kama la Berger?
Sawa.Kwangu ni ngumu kuamini kama nimeona ila wewe unataka nikuamini si ndio? Kama nimeweza kukumbuka goli la Patrick Berger nini cha zaidi unataka? Narudia tena refa kushangilia sio swala la ajabu hadi kuanzishia uzi.