Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Ameona ametoa utetezi wa maana mwenzio! Zaidi anakuuliza umeanza kuangalia mpira lini, nikajua anataka ku-refer mechi za akina Pele labda😄kwa hiyo ni sahihi kwa vile huyo wa Ulaya alifanya pia?
Mi niliyeacha kushabikia mpira siku za hivi karibuni, hata huyo Mbappe nilimshuhudua kweny WC tu, simuoni kama ni mcheza mpira...sasa sijui huyo aliyemtaja wa Liverpool ndo nani!😀