Refa ashangilia goli la Yanga

Refa ashangilia goli la Yanga

Umeanza kushabikia mpira lini? Kaangalie Man u vs Liver game iliisha 1-1 goli la liver akifunga Patrick Berger refa alifanya nini
Ni kweli refa Alishangilia goli la Berger,ni tukio lisilo la kawaida ndio maana ilikuwa ni habari kubwa hasa jibu la refa,Tangu goli la Berger uliona wapi kwingine refa akishangilia goli?Je sababu za huyu refa zinalingana na za refa wa EPL?goli hili ni kali sana kama la Berger?
 
Niliwasikia mashabiki wakisema kocha wa KMC naye alikuwa anafurahia Uto wakimpiga mabao ni kweli?!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Niliwasikia mashabiki wakisema kocha wa KMC naye alikuwa anafurahia Uto wakimpiga mabao ni kweli?!
Sio kufurahia tu amewashukuru GSM baada ya mchezo.Shukurani kwa mchezo na mzigo.Soka la Bongo.
 
Ni kweli refa Alishangilia goli la Berger,ni tukio lisilo la kawaida ndio maana ilikuwa ni habari kubwa hasa jibu la refa,Tangu goli la Berger uliona wapi kwingine refa akishangilia goli?Je sababu za huyu refa zinalingana na za refa wa EPL?goli hili ni kali sana kama la Berger?
Huyu aliyechezesha mechi KMC na Yanga ni wapi kaonekana ameshangilia?
 
Kwangu ni ngumu kuamini kama nimeona ila wewe unataka nikuamini si ndio? Kama nimeweza kukumbuka goli la Patrick Berger nini cha zaidi unataka? Narudia tena refa kushangilia sio swala la ajabu hadi kuanzishia uzi.
Sawa.
 
Back
Top Bottom