Ameona ametoa utetezi wa maana mwenzio! Zaidi anakuuliza umeanza kuangalia mpira lini, nikajua anataka ku-refer mechi za akina Pele labda😄kwa hiyo ni sahihi kwa vile huyo wa Ulaya alifanya pia?
LIko wapi?Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Hakushangilia usipotoshe, refa aliingiwa na midadi yaani alijiona kama Azizi Ki ndiyo yeye hivyo akafanya kwa ishara ni kipi angefanya kama angekuwa ndiyo yeye kwa eneo lile. Ni mambo ya mzuka wa mpira tu hayoNaangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Mzuka hauji kwenye timu usiyoipenda.Wewe huwa unapanda mzuka na kufuatilia move timu yako ikishambuliwa?Hakushangilia usipotoshe, refa aliingiwa na midadi yaani alijiona kama Azizi Ki ndiyo yeye hivyo akafanya kwa ishara ni kipi angefanya kama angekuwa ndiyo yeye kwa eneo lile. Ni mambo ya mzuka wa mpira tu hayo
Refa kazi yake ni kufata sheria na kanuni za mpira, hakuna refarii asiyekuwa na timu anayoipenda, kosa la mwamuzi ni kufanya maamuzi ya upendeleo ama kutofuata kanuni. Hakuna popote pale mwamuzi atachukuliwa hatua kisa mzuka fulani. Mpira ni mchezo wa hisiaMzuka hauji kwenye timu usiyoipenda.Wewe huwa unapanda mzuka na kufuatilia move timu yako ikishambuliwa?
Kama refa unatakiwa usiwe na upande.Wacha kushabikia upuuzi.
EPL ukionesha mapenzi kwa timu unayoishabikia huchezeshi hiyo timu.Hisia zinafanya uwe biased hiyo ndio nature ya kibinadamu. Yaani ushangilie goli udai ni hisia??Refa kazi yake ni kufata sheria na kanuni za mpira, hakuna refarii asiyekuwa na timu anayoipenda, kosa la mwamuzi ni kufanya maamuzi ya upendeleo ama kutofuata kanuni. Hakuna popote pale mwamuzi atachukuliwa hatua kisa mzuka fulani. Mpira ni mchezo wa hisia
Unazungumzia kuhusu 'kushangilia'EPL ukionesha mapenzi kwa timu unayoishabikia huchezeshi hiyo timu.Hisia zinafanya uwe biased hiyo ndio nature ya kibinadamu. Yaani ushangilie goli udai ni hisia??
Namaanisha ni binaadam na wao wanapenda vitu vizurikwa hiyo ni sahihi kwa vile huyo wa Ulaya alifanya pia?
Hehehe!!!Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Nothing but nonsenseRefa wa uto...joking ni midadi tu ya mpenda mpira yeyote yule.
Huyo refa siyo binadamu?Kapicha mkuu
Nimeuliza kapicha mkuu. Sijaulizia kuhusu mbwaH
Huyo refa siyo binadamu?
Unaangalia wapiNaangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
Tuwaitie waarabuWeka clip tuone mkuu😂😂
Yanga hii unaifungaje..????
Duu noted with thanksNimeuliza kapicha mkuu. Sijaulizia kuhusu mbwa
Kwani na wewe vipi, hukushangilia?Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.