Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Simba inahusika vipi hapa? Wakati Haikuwa hata mechi inayohusisha Simba?Hujuma toka kwa simba simba wametembeza bahasha simba wanaihonga tihefuhefu
Hii mbona ni mechi ambayo Simba hahusiki?Michezo ya nje ya uwanja haitoisaidia hii simba mbovu
Simba wanatembeza bahasha hujuma ziwafikie yangaSimba inahusika vipi hapa? Wakati Haikuwa hata mechi inayohusisha Simba?
Uliangalia hio mechi au ulisikiliza TBC taifa?Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
View attachment 2818490
Karudie kusoma hukumu hiyo kuna sehemu ulirukaBodi ilishatoa taarifa rasmi ya maamuzi ya mechi Hio kwa kumfungia aucho mechi tatu na faini ya laki 5, mbona hawakuweka adhabu ya refa kwenye official statement Yao ambayo walitoa hukumu kwenye mechi zaidi ya 7 hivi
Tatizo bongo ni ngumu sana kuamini hivi vyanzo vya habari uchwara.... Mtu anaweza kutoka kupiga zake nyeto akaanza ku tweet upuuzi tu
Wapi ilipoandikwa kwa kuipendelea Yanga kwenye hiyo taarifa? Una ushabiki uliopitiliza na kuichukia Yanga kupita kiasi. Vipi waamuzi waliochezeshs kwenye kipigo chenu cha paka mwizi wamechukuliwa hatua gani? Au hawakuipendelea Yanga?Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
View attachment 2818490
Yanga labda alipendelewa nini kwenye hiyo mechi ungesema kabisa. Kosa alilofanya Aucho ndiyo hilohilo alifanya Ajibu, ajabu na kweli kafungiwa mmoja na mwingine anadunda.Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
View attachment 2818490
Refa amefungiwa kwa kutoa maamuzi ambayo yalikuwa yanaipa unafuu YangaWapi ilipoandikwa kwa kuipendelea Yanga kwenye hiyo taarifa? Una ushabiki uliopitiliza na kuichukia Yanga kupita kiasi. Vipi waamuzi waliochezeshs kwenye kipigo chenu cha paka mwizi wamechukuliwa hatua gani? Au hawakuipendelea Yanga?
Maamuzi yapi yatajeRefa amefungiwa kwa kutoa maamuzi ambayo yalikuwa yanaipa unafuu Yanga
Nami nasibiria aorodheshe hayo maamuziMaamuzi yapi yataje
Karia anatamani hata kuifuta kabisa yanga sema ndio hana uwezo huo aliikuta na ataiachaHuu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
View attachment 2818490
Mbona TFF haikutoa adhabu kwa Refa aliyechezesha mechi ya Simba SC Vs Singida SC hadi timu ya Singida ilimlalamikia?Refa amefungiwa kwa kutoa maamuzi ambayo yalikuwa yanaipa unafuu Yanga
Nilivyoona siku hiyo huyu mwamuzi aliikamia sana coastal hadi akatawaliwa na hisia kiasi cha kujaribu kuwatisha wachezaji wa coastal kwa kadi.Na kama coastal wangetangulia kufunga goli,wangepigwa kadi nyekundu hata mbili ili yanga wasawazisheHuu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
View attachment 2818490