Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

Nilivyoona siku hiyo huyu mwamuzi aliikamia sana coastal hadi akatawaliwa na hisia kiasi cha kujaribu kuwatisha wachezaji wa coastal kwa kadi.Na kama coastal wangetangulia kufunga goli,wangepigwa kadi nyekundu hata mbili ili yanga wasawazishe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tano [emoji2936][emoji2772] ni nyingi lazima akili ziruke
 
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,

Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo

View attachment 2818490

Something sodomizing your brain
 
Yanga inabebwa sana, imagine mchezaji anapigwa tu kadi bila kosa ili kubeba yanga
 
Acha kuisema Yanga, Simba mara ngapi wamependelewa na marefa hawajafungiwa
 
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,

Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo

View attachment 2818490
Wapi wamesema kafungiwa kwa kosa la kuipendelea Yanga?,hizo 5 zinawapa kichaa safari ijayo mnakula 10 kabisa
 
Hii Yanga itatusumbua sana mana kwa Tanzania kwa sasa hakuna timu saizi ya Yanga, mm Simba lkn kwenye ukweli usemwe, Yanga ni timu bora ambayo hatujawahi kuiona hapa EA tangu uhuru wa nchi za Afrika mashariki, hii Yanga itachukua ubingwa wa nchi hii kwa zaidi ya miaka 10 ijayo kama sisi Simba hatutostuka na kujipanga vyema kukabiliana na hawa washenzi.
IMG-20231117-WA0001.jpg
 
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,

Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo

View attachment 2818490
Tukisema mnatuchagulia timu za kushabikia. Lakini haya uliyoandika hapa ni taarabu. Kwa walioangalia Ile Mechi timu iliyopendelewa zaidi ni Coast na walimudu kumgeuza refa kama babu yao.
 
Tatu Malogo mara nyingi anapangwa kuchezesha mechi za Makolo tu! Na kila mechi atakayochezesha lazima awabebe hao Makolo kwa namna yoyote ile! Na hutaona akichukuliwa hatua yoyote ile.

Hakika TFF ina viongozi wajinga sana.
 
Hii Yanga itatusumbua sana mana kwa Tanzania kwa sasa hakuna timu saizi ya Yanga, mm Simba lkn kwenye ukweli usemwe, Yanga ni timu bora ambayo hatujawahi kuiona hapa EA tangu uhuru wa nchi za Afrika mashariki, hii Yanga itachukua ubingwa wa nchi hii kwa zaidi ya miaka 10 ijayo kama sisi Simba hatutostuka na kujipanga vyema kukabiliana na hawa washenzi.View attachment 2818682
Wewe sio Simba ni utopolo ,kama unaujua vzr Mpira wa bongo huwez sema et yanga itachukua Mara 10 mfululizo .
Ushabik utawaua Ila Simba na Yanga ni timu zipo kwa mkakati maalumu na ni nguzo kwa serikal.

Tokea lini Simba na Yanga wamewahi kuwa sawa wote wakawa wa Moto? Je unahis Hilo haliwezekan wote wakawa wa Moto kwa misimu kadhaa.

Siku ukijaujua ukweli wa Simba na Yanga utakujajiona mjinga Sana.
Hizi timu zipo kimkakati Sana .
 
Wapi wamesema kafungiwa kwa kosa la kuipendelea Yanga?,hizo 5 zinawapa kichaa safari ijayo mnakula 10 kabisa
Wewe hujasoma au hujui kusoma? Hujaona alimpa kadi ya njano isiyo ya halali mchezaji wa Coastal?
 
Tukisema mnatuchagulia timu za kushabikia. Lakini haya uliyoandika hapa ni taarabu. Kwa walioangalia Ile Mechi timu iliyopendelewa zaidi ni Coast na walimudu kumgeuza refa kama babu yao.
Hujaona alimpa kadi ya njano isiyo ya halali mchezaji wa Coastal?
 
Hii Yanga itatusumbua sana mana kwa Tanzania kwa sasa hakuna timu saizi ya Yanga, mm Simba lkn kwenye ukweli usemwe, Yanga ni timu bora ambayo hatujawahi kuiona hapa EA tangu uhuru wa nchi za Afrika mashariki, hii Yanga itachukua ubingwa wa nchi hii kwa zaidi ya miaka 10 ijayo kama sisi Simba hatutostuka na kujipanga vyema kukabiliana na hawa washenzi.View attachment 2818682
Hii n habari ya Yanga na Coastal ndugu, Simba anahusikaje?
 
Back
Top Bottom