Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

Kumpa kadi mchezaji kimakosa,hiyo kudhoifisha mchezaji kiakili au timu yake kwamba wana kadi wakati hajafanya kosa,na pia inapunguza morali kwa huyo mchezaji
Vipi ile penalty ya Kapombe alivyo daka miguu ya Mudathir ?
 
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,

Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo

View attachment 2818490
Mfaidika.si anapaswa kupokwa ushindi?
Hawa tiefuefu veeepe bana
 
Hii mechi Yanga alifunga goli likakataliwa kuwa ni offside wake mchezaji alikuwa onside
 
Mwandembwa FC wanasemaje kocha wao kufungiwa
 
Afu Tatu malogo anapeta Kama refa Bora 😅😅🤭🤭 hii tifutifua banah
 
Back
Top Bottom