Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

Kumpa kadi mchezaji kimakosa,hiyo kudhoifisha mchezaji kiakili au timu yake kwamba wana kadi wakati hajafanya kosa,na pia inapunguza morali kwa huyo mchezaji
Vipi ile penalty ya Kapombe alivyo daka miguu ya Mudathir ?
 
Mfaidika.si anapaswa kupokwa ushindi?
Hawa tiefuefu veeepe bana
 
Hii mechi Yanga alifunga goli likakataliwa kuwa ni offside wake mchezaji alikuwa onside
 
Mwandembwa FC wanasemaje kocha wao kufungiwa
 
Afu Tatu malogo anapeta Kama refa Bora 😅😅🤭🤭 hii tifutifua banah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…