Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kasema lolote kuhusu kwanini haikuwa kona? Pale kila hatua aliyoifanya, ilikuwa na makosa.Kasema ni mpaka kuwe na ushahidi Wa zaidi ya kamera Moja kuthibitisha goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema lolote kuhusu kwanini haikuwa kona? Pale kila hatua aliyoifanya, ilikuwa na makosa.Kasema ni mpaka kuwe na ushahidi Wa zaidi ya kamera Moja kuthibitisha goli
Ile barua imeshia kakonko tu hapo nani wa kupeleka barua unafikiri wao viongozi wa yanga hawajui kuwa lilikuwa sio goli?Nilitamani mmajibu ya ile barua yatoke haraka.
Mtani anateseka.
Lile la Yanga lilikuwa zaidi ya hiyo picha ya mechi ya Japan, kwenye mechi ya Yanga mpira unaonekana ulivuka wote na kubakiza nafasi ya kutosha kati ya mstari wa goli na mpira ulipodondokea.
Uliangalia mechi au ulisimuliwa?Maamuzi yalishafanyika..............Mstari unaotenganisha kati ya goli ama sio goli ni mwembamba sana.
Hili liwe goli mpira ulitakiwa kuvuka mstari completely, so kwa that scenario unaona mpira bado una-sniff goal line.
Hivyo sio Goal - Maamuzi sahihi kabisa.
Tukutane Nusu fainali ya Jangwani Matopeni😉.................muunde wap nyie kenge maji.
Too close to call.
Wenye VAR yao wakasema bolu itembeeToo close to call.
Kwa Hali kama hii unawezaje kusema mpira haujatoka!?
Kwa macho ya kawaida huo mpira haujatoka.
Kwa kanuni za VAR refarii halazimiki kwenda...Kwanini refa hakwemda kujiridhisha kama alivyofanya kwa faulo ya Lomalisa?!
Sasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?Hapa uchira hatuna watu wajinga kama wewe
We tutakumalizia hasira za kunyimwa goli letu hapo tarehe 20 ni khamsa tena! Ukumbuke maneno huumba!!Maamuzi yalishafanyika..............Mstari unaotenganisha kati ya goli ama sio goli ni mwembamba sana.
Hili liwe goli mpira ulitakiwa kuvuka mstari completely, so kwa that scenario unaona mpira bado una-sniff goal line.
Hivyo sio Goal - Maamuzi sahihi kabisa.
Tukutane Nusu fainali ya Jangwani Matopeni😉.................muunde wap nyie kenge maji.
Kuendeleza mjadala huko instagram angalau mwezi mzima kuna faida ya Yanga kutoonewa tena next time. Yanga ni timu bora kwasasa iko kwenye peak hivyo kombe la CAF champion league ni halali yetuSasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?
Matokeo ni kuwa tumepoteza nadhan tu focus mambo mengine. Ila kwendelea kupiga kelele na lile goli ni kujipitezea muda na kujiumiza mioyo pasipokuwa na sababu.
Hii ni kazi ya mashabiki, ndio kazi yetu kupiga kelele focus tunaiachia timu. Kumbuka hapa tunatambiana tu simba na yanga basi. Kwahiyo kila mtu anatanua msuli wake. Haina maana ya kubadilisha jambo lakini walau tukiongea nyongo zinapungua.Sasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?
Matokeo ni kuwa tumepoteza nadhan tu focus mambo mengine. Ila kwendelea kupiga kelele na lile goli ni kujipitezea muda na kujiumiza mioyo pasipokuwa na sababu.
Goli huwa goli tu baada ya refarii kukubali kuwa ni goli!! Maamuzi ya refarii kuhusu goli huwa ni ya mwisho!Ile haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
Unaweza kuthibitisha kua hio barua unayo iona kwenye mitandao ndio iliyotumwa CAF?Ile barua imeshia kakonko tu hapo nani wa kupeleka barua unafikiri wao viongozi wa yanga hawajui kuwa lilikuwa sio goli?
Yaani uandike barua uanze kuipost kwenye mitandao halafu ndio iende CAF thubutu!!!!
Si ndio nashangaa mtu anataka kufafanua sehemu isiyo hitaji ufafanuziIle haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
Kolozudad mpaka mseme. Leseni na uthibitisho wa Mh. Samia kwamba naye amekataa siyo goli!Jerome Damon Refarii Mstaafu na Mkufunzi wa matumizi ya VAR wa FIFA, ameungana na maamuzi ya kulikataa goli la Yanga dhidi ya Mamelod sundown.
Damon amesema Kwa Sheria ya VAR kwanza kunakuwa na uamuzi wa awali ambao ni wa uwanjani (on-field decision) halafu VAR hutumika kuyakagua (check) maamuzi ya awali.
Damon ametolea mfano Wa Mechi kati ya Ujerumani na Japan ambapo vyombo vya habari vilionyesha kuwa kulikuwa na goli Lakini teknolojia ya mstari wa goli ilionesha mpira wote ulikuwa haujavuka mstari wa goli.
Damon anasema maamuzi yale huenda yalitokana na kutokuwepo na Camera Juu ya goli kuthibitisha kama ule mpira ulivuka mstari wa goli.