Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

Nilitamani mmajibu ya ile barua yatoke haraka.

Mtani anateseka.
Ile barua imeshia kakonko tu hapo nani wa kupeleka barua unafikiri wao viongozi wa yanga hawajui kuwa lilikuwa sio goli?
Yaani uandike barua uanze kuipost kwenye mitandao halafu ndio iende CAF thubutu!!!!
 
Lile la Yanga lilikuwa zaidi ya hiyo picha ya mechi ya Japan, kwenye mechi ya Yanga mpira unaonekana ulivuka wote na kubakiza nafasi ya kutosha kati ya mstari wa goli na mpira ulipodondokea.
Sasa kama wanasema sio goli, waje watuambie kwanini katika mazingira yale lile lisiwe ni goli?
 
Maamuzi yalishafanyika..............Mstari unaotenganisha kati ya goli ama sio goli ni mwembamba sana.

Hili liwe goli mpira ulitakiwa kuvuka mstari completely, so kwa that scenario unaona mpira bado una-sniff goal line.

Hivyo sio Goal - Maamuzi sahihi kabisa.

Tukutane Nusu fainali ya Jangwani Matopeni😉.................muunde wap nyie kenge maji.
 
Uliangalia mechi au ulisimuliwa?
Ebu angalia hapo mpira umevuka mstari kwa asilimia 100
 
Attachments

  • NHhrcqrRQy_Q3mkB.mp4
    305.6 KB
Ukiona nguvu kubwa inatumika kukataa kitimu kilicho dhahiri ujue kuna maslahi yameguswa pahala
 
Hapa uchira hatuna watu wajinga kama wewe
Sasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?
Matokeo ni kuwa tumepoteza nadhan tu focus mambo mengine. Ila kwendelea kupiga kelele na lile goli ni kujipitezea muda na kujiumiza mioyo pasipokuwa na sababu.
 
Ile haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
 
Maamuzi yalishafanyika..............Mstari unaotenganisha kati ya goli ama sio goli ni mwembamba sana.

Hili liwe goli mpira ulitakiwa kuvuka mstari completely, so kwa that scenario unaona mpira bado una-sniff goal line.

Hivyo sio Goal - Maamuzi sahihi kabisa.

Tukutane Nusu fainali ya Jangwani Matopeni😉.................muunde wap nyie kenge maji.
We tutakumalizia hasira za kunyimwa goli letu hapo tarehe 20 ni khamsa tena! Ukumbuke maneno huumba!!

Na ukumbuke Yanga ya Eng Hersi inaenda juu daily sasa utaona next season CAF champion league hatutaonewa tena na tutatoboa semi final ambayo ni mfupa uliowashinda makolo bin mbumbumbu!!

Ila nikusaidie kitu Mtani hata mimi nilikuwa nabisha kuwa sina shida ya macho ila ikawa kuna vitu watu wanasema wameona hivi wakati mi nimeona vingine nikaenda hospital daktari akanipima na kuniambia huoni vizuri chukua miwani hii kavae. Nilikubali, nawewe sasa ni zamu yako!!

Otherwise kama daktari atakupima na kusema huna shida ya macho basi ufike kwa wataalam wa magonjwa ya ubongo ukaangalie possibility!!!

Mtani lile ni goli halali hata kama haikupendezi, kile ni chuma toka kwa Aziz Ki, mchezaji mmoja tu mwenye uwezo sawa na wachezaji sita wa makolo put together!! Lile ni goli la wazi ndo maana hawakurudia na hadi leo hakuna footages za VAR zilizotolewa na refa akachanganyikiwa baada ya kukataa goli angeweka kona nalo hakufanya.

Tabia ya kuukataa ukweli haitakufikisha mbali kimaisha!!
 
Sasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?
Matokeo ni kuwa tumepoteza nadhan tu focus mambo mengine. Ila kwendelea kupiga kelele na lile goli ni kujipitezea muda na kujiumiza mioyo pasipokuwa na sababu.
Kuendeleza mjadala huko instagram angalau mwezi mzima kuna faida ya Yanga kutoonewa tena next time. Yanga ni timu bora kwasasa iko kwenye peak hivyo kombe la CAF champion league ni halali yetu
 
Sasa mkuu hata tukeshe tukipiga kelele nini kitarudi?
Matokeo ni kuwa tumepoteza nadhan tu focus mambo mengine. Ila kwendelea kupiga kelele na lile goli ni kujipitezea muda na kujiumiza mioyo pasipokuwa na sababu.
Hii ni kazi ya mashabiki, ndio kazi yetu kupiga kelele focus tunaiachia timu. Kumbuka hapa tunatambiana tu simba na yanga basi. Kwahiyo kila mtu anatanua msuli wake. Haina maana ya kubadilisha jambo lakini walau tukiongea nyongo zinapungua.
 
Ile haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
Goli huwa goli tu baada ya refarii kukubali kuwa ni goli!! Maamuzi ya refarii kuhusu goli huwa ni ya mwisho!
 
Ile barua imeshia kakonko tu hapo nani wa kupeleka barua unafikiri wao viongozi wa yanga hawajui kuwa lilikuwa sio goli?
Yaani uandike barua uanze kuipost kwenye mitandao halafu ndio iende CAF thubutu!!!!
Unaweza kuthibitisha kua hio barua unayo iona kwenye mitandao ndio iliyotumwa CAF?
 
Ile haikua faulo kwamba tuskilize watalamu wanasema inaamuliwa vipi. Pale lilikua ni swala la macho kufanya kazi kwamba mpira umeingia au haujaingia, na mpira kwa macho ya kawaida kabisa unaonekana umeingia. Kwaio hapa hata nani aseme nini haiwezi kubadili fact kua lile ni goli
Si ndio nashangaa mtu anataka kufafanua sehemu isiyo hitaji ufafanuzi
 
Jerome Damon Refarii Mstaafu na Mkufunzi wa matumizi ya VAR wa FIFA, ameungana na maamuzi ya kulikataa goli la Yanga dhidi ya Mamelod sundown.

Damon amesema Kwa Sheria ya VAR kwanza kunakuwa na uamuzi wa awali ambao ni wa uwanjani (on-field decision) halafu VAR hutumika kuyakagua (check) maamuzi ya awali.

Damon ametolea mfano Wa Mechi kati ya Ujerumani na Japan ambapo vyombo vya habari vilionyesha kuwa kulikuwa na goli Lakini teknolojia ya mstari wa goli ilionesha mpira wote ulikuwa haujavuka mstari wa goli.

Damon anasema maamuzi yale huenda yalitokana na kutokuwepo na Camera Juu ya goli kuthibitisha kama ule mpira ulivuka mstari wa goli.
Kolozudad mpaka mseme. Leseni na uthibitisho wa Mh. Samia kwamba naye amekataa siyo goli!
 
Back
Top Bottom