Refa Omar Artan aliyezuiwa kuingia Marekani ateuliwa na UEFA kuchezesha Fainali ya Super Cup kati ya PSG na Aston Villa

Wameamua kumfuta machozi kwa style hiyo.
 
Nadhani kila nchi ina sheria, Sera na utaratibu wake kwenye mambo ya immigration....wao wanayo haki ya kuamua nani aingie na nani asiingie kulingana na sheria zao kama ambavyo nchi zingine hufanya!!!

Nadhani suala hili linabebwa kimihemko na chuki dhidi ya Marekani na sio katika logic tu ya kawaida!!!!
 
Wengi ni wairan weusi ndio wanalalamika
 
Marekani siyo mbinguni mzee aya sasa kapewa heshima kubwa zaidi ya ile
Achana na huyo kikaragosi ..hao ndio wnaaoinamishwa huko marekani na WAMAREKANI wao
wamarekani siku zote ni wapumbavu wakubwa tu...nilisema tu kua wamempa jamaa promo ya Bure ya KIDUNIA ...huyu jamaa thaaman yake imepanda maradufu na atapata madili makubwa ya matangazo
hao Marekani wenu mbwa tu. sijui mnapapendea nini. ni bora nitulie kwetu Arumeru nivute mabangi nilime kuliko huko ushetanini
Watoto wa mudi mjifunze kuwa wagalatia hawana hizo chuki mlizoaminishwa kwenye kitabu chenu quran.
Huyo refa kama angekuwa mkristo basi angekataliwa katika mataifa yote ya kiislamu.
 
Abadili uraia
 
Is that an issue for us so far?
 
Hauwezi kucomment bila matusi ? Kama ulifatilia Ili suala la huyo refa ndugu zako waislamu humu walitumia hisia za kidini zaidi.
Jifunze kujibu hoja pasipo matusi,matusi nikielelezo tosha ulipata malezi mabovu kutoka kwa wazazi wako.
CHUKI zimeziba milango ya fahamu za watu wengi ulimwenguni
 
Kweli Marekani haogopwi sasa hivi.

Uefa wameonesha wao wana akili zaidi na wanamaamuzi zaidi ya FIFA ambao ni bendera fata upepo.
 
Kwa nini wameandaa kombe la dunia kama kuna sheria dhidi ya kundi la watu flani?
Russia na mataifa mengine yaliyoandaa mashindano ya kombe la dunia hawajawahi kuzuia watu kuingia kushiriki mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…