Asiye taka reform ni huyo huyo , hivyo utaona kila kitu ni huyo huyo na Mstaafu mmoja.Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Sasa mkuu 'Egoinya', unamlalamikia nani, au unamlaumu nani?Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Ccm tunapoongelea mambo ya kitaifa ambayo yanalenga kuleta haki kwa vyama vyote mnaungana kutia ngumu marekebisho yasifanyike,,lkn nyie mmefanyiwa ndivyo sivyo na Samia na kikwete mnalialia ! Concern yangu ni "KWANINI MNAUMIA KWA TARATIBU KUVUNJWA WAKATI SHERIA ZA TUME ZINAWAPENDELEA NYIE NA MKO KIMYA"? Kuweni waungwana chukia uonevu hata kamq anafanyiwa mtu mwingine. Mlinunua wabunge wa upinzani , mkafunga viongozi, mkazuia mikutano,mkazuia ruzuku nk .mnadhani mnaowafanyia hawaumii.Sasa mkuu 'Egoinya', unamlalamikia nani, au unamlaumu nani?
Kwani Samia huyo anayataka marekebisho?
Kwani ni nani anapindisha taratibu za uteuzi ndani ya CCM, siyo Samia huyo huyo; au wewe unaelewaje?
Walishaharibu wenyewe.Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Inashangaza sanaSamia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Suala la Reforms ni la wakati na Mungu mwenyewe kaamya mabadiliko yatokee Tanzania. Hivyo wanaopinga hawataweza. Ndio maana wamejikuta wanajichanganya wenyewe. Mimi nashauri tubkuwa ili Mama Samia agombee urais kwa amani afanye yafuatayo:Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Kitu gani tenasasa kimeulamba, Mungu ni mtaalam sana...
Ukiona Pendael amekuja kulalamika basi ujue mambo ni magumusasa kimeulamba, Mungu ni mtaalam sana...
Shida ni chuki binafsi Kwa Samia mengine ni visingizio kipumbaza wajingaSamia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!?
Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
Duh!Ccm tunapoongelea mambo ya kitaifa ambayo yanalenga kuleta haki kwa vyama vyote mnaungana kutia ngumu marekebisho yasifanyike,,lkn nyie mmefanyiwa ndivyo sivyo na Samia na kikwete mnalialia ! Concern yangu ni "KWANINI MNAUMIA KWA TARATIBU KUVUNJWA WAKATI SHERIA ZA TUME ZINAWAPENDELEA NYIE NA MKO KIMYA"? Kuweni waungwana chukia uonevu hata kamq anafanyiwa mtu mwingine. Mlinunua wabunge wa upinzani , mkafunga viongozi, mkazuia mikutano,mkazuia ruzuku nk .mnadhani mnaowafanyia hawaumii.
Aisee- umenichekesha Sana Kwa comment yakoUkiona Pendael amekuja kulalamika basi ujue mambo ni magumu