Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Most of these handsome called guys wanakuwaga wanafukunyuliwa mitaro maana so walizoea kusifiwa wazuri Kama mademu anazoea kusifiwa ungese wake mwisho wa siku anageuka kuwa cocksucker.

Ukiona dume linafurahi kuitwa mzuri basi shida inaanzia hapo, ukichunguza zaidi hata likiwa limeoa lazima linakuwa na msukumia nyama wake ili lipate busta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah.
 
Uhandsome wa mwanaume
1.Gentle
2.Well built muscles
3.thick wallet
 
I have decided that you know too much!
Wazungu wajanja mnooo, usipokuwa na upeo wa kuchanganua mambo kwaa upana wake, unaingia mkenge faster tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kuwatazama tyuuh na drama zao, wala sio za kuamini hizo propaganda zao, uwiiiiiih
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

Sio kiboksi manyoya kweli huyu?
 
Hamshindi Kevi wangu

bado sana huyu😅😅😅😅😅😅
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

We ulishawahi kuniona mimi?? Hebu kwendeni huko!! hata mimi ni bonge la handsome man!!
 
Hajamfikia Brian Decon

Uyu jamaa analiza wamama wote Dunia nzima,

Wengine wanamuita bwana wao hata kuwajua hawajui
 
Justin was very fine kipind hicho asa hiv sijui ndio anazeeka naona havutii tena.
Umri umemtupa mkono, Ila alikua very smart.

He wa my role model kwenye uvaaji na mwonekano[emoji4]
 
Back
Top Bottom