Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndugu wewe ni me au ni ke?
Emoji hizi usizijali hazihusiani na mada.
 
Uwezi kuona uzuri wake kwasababu mmezoea kuona viwanaume vifupi tu
Jinsia yako tafadhali, wewe ni me au la? Kwa bahati 'mbaya' kama ni me je ni straight au la?
Comments zako tata ndiyo zimepelekea maswali yangu.
IMG_20220329_212911.jpg
 
Kwan nawee umwjirudhisha km n gay? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just at looking 'his' sitting position (pozi) na facial expression.

Tuyaache hayo maadam yupo England nchi iliyojaa hivyo vimelea, mawazo yangu yakahamia huko
 
Mwanume hand some kuuumbe hata weye hujui ni yule mwenye sura ya kazi manyama nyama hivi likikukata hilo unajua naaam nimekatwa na mwanaume sasa naelekea kukojoa kojo mwaaa!...lenye makovu ya kazi linalo nuka jasho lakiumeni!!

weye unataja me mrembo huyoooooo! mwee!
 
Just at looking 'his' sitting position (pozi) na facial expression.

Tuyaache hayo maadam yupo England nchi iliyojaa hivyo vimelea, mawazo yangu yakahamia huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman ila wabongo hapana, mbna pozi zake za ki gentleman, au mie ndo sielew? Uwiiiih
 
Uyo levy ameshajizeekea wee mwanaume ana miaka zaidi ya 40 ananzaje kua handsome
Sasa rekebisha usemi.

Sema hivi .
Mwanaume handsome kwa generation yako.

Sisi mama zako tuna bbado tunawaona very handsome kina Levy, kina Aquaman, kina Jasiri.
Kina Will Smith.

Mradi bado wanaishi, dunia bado ina vitu vitamu we mtoto.
 
Gabo for instance, bado Tanzania kusiwe na handsome men?
Wewe!
 
Ona huyu binadamu.

Halafu eti awe sio handsome.
Mxxxxxie
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

Uzi wa kiwaki
 
Kila mwanaume Duniani ni handsome tu tatizo linaanzia kwenye madafu tu (pesa)
Hata uwe mbaya vipi ila mbele ya pesa utaitwa handsome tu

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom