Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Kwani Michael Scorfield ulitambua kama ni gay hadi alipojitangaza?
Umeshasema alijitangaza. Sasa wewe unapata wapi ujasiri wa kusema ni gay kwa mtu mwenye mahusiano yake yanayoenda vizuri tu na mwenyewe alishasema kuwa ni straight
 
That dental [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

Ngoja niirudie tena bridgerton kwa mara ya 5.
 
Aah hyo series hapana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Shoga tu anafanana na Tibazonkiza
 
Mzee Kigogo acha makasiriko.

Macho mengine sio lazima yarembukiwe yanarembukaga yenyewe.

Ila raha ya mwanaume ni awe na macho makali. Yaongee tu yenyewe🤣🤣🙊🙊
Ndio mwanzo wa kushikishwa ukuta.
Mwanaume unarembua ili iweje?!
 
Wameanza Uganga..
Kuna masela kazi kazi wapo zaidi ya hawa..kwa sababu tu ya Usalama ningewaweka humu.
Huyu anaoga mafuta yupo hivyo.
 
Hapa ndipo unapoona kila mtu ana mzuriwe, bas na kila mtu ashike akiaminicho.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…