General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Daah! Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu.
Ni kweli. Ila dada, hebu niambie kwa macho yako ni mwanaume gani unaona ni handsome, taja mtu maarufu tunayemfaham wote, au weka picha tuone