Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza.

Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji.

Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Inasemekana kuwa Rege ndo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

Ni kwa mujibu wa nani
 
Huyu jamaa nilimuona kwenye filamu ya kunta kinte Kama sijakosea...
 
Back
Top Bottom