Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

Yaani siku hizi sijui wanatumia vigezo gani? Hivi mimi wa kunifananisha na huyu,Huyo Rangi tu inamlinda angekuwa mweusi huyo angekuwa km Baba ubaya.
 
Hajamfikia Brian Decon

Uyu jamaa analiza wamama wote Dunia nzima,

Wengine wanamuita bwana wao hata kuwajua hawajui
Wee rafiki acha uongo, sasa yule ana uzuri gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani siku hizi sijui wanatumia vigezo gani? Hivi mimi wa kunifananisha na huyu,Huyo Rangi tu inamlinda angekuwa mweusi huyo angekuwa km Baba ubaya.
Acha uongo wako mmmmh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

Mbona kama kocha wetu wa The Gunners,Arteta 🤣
 
Wee kiboko ni Somalia na Ethiopia. Kule kuna dudes watu wana squirt kwa kuwa tazama tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao Somalia na Ethiopia wengi sura nzuri ila afya mgogoro.

Hawana miili ya kiume
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

sema unamtaka tu na umepost kuonesha hisia zako
 
Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset).

Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na mwenye mvuto kuliko wote duniani.

Vigezo vilivyotumika ni nin
 
Back
Top Bottom