Regina Daniels(18), Living her best life with her 59 Billionare husband .

Labda anakidhi mahitaji ya Regina.Unaweza ukawa na msela ana miaka 25 ila huna amani wala raha ya mapenzi.
 
Labda anakidhi mahitaji ya Regina.Unaweza ukawa na msela ana miaka 25 ila huna amani wala raha ya mapenzi.
Juzi kacomment insta kumuwish birthday ex wake. Akasema hajawahi kuwa na rafiki bora wa kiume kama yeye...
 
True umasikini we acha tu.
 
Acha Ubishi Bwana, We Kizee cha 60, Kisicho na Fedha Utakikubali?
Una uhakika gani kuwa hakijanioa?
Mimi huwa siwaelewi mnahukumu vipi wanawake kuwa wanafata pesa na kusahau sacrifice wanayoifanya katika kufata wanachofata ila hamhukumu mwanamme anayeweka kipaumbele chake fulani katika kumpata mwanamke!
Hicho hicho kipaumbele ndo mapenzi yake yalipo.!
Huyo babu kafata nini kwa Binti mdogo hivyo?Sio ngono?
Ndo mapenzi hayo.
 
Mwanamke anaiva miaka 14 maximum sasa ana udogo gani? 18 ni system tu ya kuzuga zuga watu wapate elimu ila dushe linapenya na anaongeza idadi ya watu dunian vzur. Kaka acha wivu .. ungekuwa wew ungemchomolea huyo mzee kwa lifestyle hiyo?
Mwambiee
 
Sio kiwanda jamani bibie hapana
 
Sawa Dada! Inaonyesha wewe ni Muhanga, Ila Ukweli Unao Mwenyewe
 
Sawa Dada! Inaonyesha wewe ni Muhanga, Ila Ukweli Unao Mwenyewe
Usione,ukadhani.
Ila sio sahihi kumhukumu huyo binti mdogo ambaye pengine wala hajajua nguvu ya Mapesa.
Amesacrifice mengi ili awe na huyo mzee,huo ni Upendo pia.
Mtu pekee atakayekupenda kwa dhati bila kutaka 'something in return' be it emotional,phisical or materialistic ni Mzazi wako na ndugu zako ulozaliwa nao kwa sababu hao Mungu keshakuchagulia.
 
Sawa! Endelea Kumpenda
 
Kwahiyo babu ameuziwa ngono na hako katoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…