Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

Toka tena uibe na kuharibu mali za watu safari hii lazima nimchinje nyumbu mmoja kwa mikono yangu ukikutana na mimi utajishindia hiyo offer.

Hamna huruma kwa wahalifu
Nimesha andaa drone 6 kwa kaxi maalumu
 
Huyu jamaa 👆nimemchunguza nimegundua ni mmoja wao wa wausika wa kuteketeza watanganyika .... nimetumia mlango wa saba kudoma saikoloji yako ....jichunge kijana tunu ya upumbavu ni mauti kwa k9zazi chako pia
Ni ***** tu uyo anatafuta attention. Hana uwezo wa kuua hata kuku
 
Japo mimi sio huyo zwazwa uliye mquote ila mauji ya kimbari yanakua yanahusisha kundi fulani tu kwenye jamii mfano wakatoliki tu au wachaga tu au wafuasi wa chama fulani tu

Yale yaliyotokea hayana sifa ya kuitwa mauji ya kimbari kwa sababu yalihusisha watu kutoka jamii tofauti tofauti, wakristo waliuwawa, waislamu waliuwawa na dini zingine pia makabila na rika tofauti nao waliuwawa bila kusahau watu wa vyama tofauti ikiwemo watu wa mboga mboga

Yale ni mauwaji ya halaiki lakini sio ya Kimbari.
Ile ni crime against humanity ambayo adhabu yake ni kifo inshort ni yana uzito yanayofanana
 
Si walisema hiyo taarifa ni fake! Ni ya AI!! Sasa wanawatekea nini mbwa hao!
 
Acha wawateke na kuwapoteza.

Hili nalo litakuwa sehemu ya ushahidi pale ICC na Mahakama nyingine zote watakapotolewa hati za kukamatwa.

Tena hili ndo litamuongeza vizuri huyu mpuuzi Mchengerwa.
 
Mkuu haya yanaitwa mauaji ya halaiki,
Halaiki means kundi lenye siraha linauwa kundi lisilo na siraha lisiloweza kujitetea. Haya ndo mauaji ya uonevu.

Kimbali means wanauana wenyewe kwa wenyewe, makundi yote yanakuwa na siraha za kutekeleza mauaji, hapa hakuna mnyonge
Mbari ni no jingine linalomaanisha kabila,kabila ni neno la kiarabu,waswahili walikua na neno lao 'mbari' kabla waarabu hawajaja na neno kabila ambalo umelizowea
*Silaha
 
Japo mimi sio huyo zwazwa uliye mquote ila mauji ya kimbari yanakua yanahusisha kundi fulani tu kwenye jamii mfano wakatoliki tu au wachaga tu au wafuasi wa chama fulani tu

Yale yaliyotokea hayana sifa ya kuitwa mauji ya kimbari kwa sababu yalihusisha watu kutoka jamii tofauti tofauti, wakristo waliuwawa, waislamu waliuwawa na dini zingine pia makabila na rika tofauti nao waliuwawa bila kusahau watu wa vyama tofauti ikiwemo watu wa mboga mboga

Yale ni mauwaji ya halaiki lakini sio ya Kimbari.
Nimekupata mkuu na tayari nimerekebisha. Mm nilikuwa namaanisha mauaji ya halaiki.
 
Mkuu haya yanaitwa mauaji ya halaiki,
Halaiki means kundi lenye siraha linauwa kundi lisilo na siraha lisiloweza kujitetea. Haya ndo mauaji ya uonevu.

Kimbali means wanauana wenyewe kwa wenyewe, makundi yote yanakuwa na siraha za kutekeleza mauaji, hapa hakuna mnyonge
Nimekupata mkuu. This was a mascre.
 
Toka tena uibe na kuharibu mali za watu safari hii lazima nimchinje nyumbu mmoja kwa mikono yangu ukikutana na mimi utajishindia hiyo offer.

Hamna huruma kwa wahalifu
Lengo letu ni kuwachoma moto hao wenye hizo mali...kini Rostam azizi
 
Kwani walikua wanauliwa kwa kuchambuliwa kabila au dini, rangi au asili yao?

Hata wangeuwawa watu elfu 50 bado siyo mauaji ya kimbari maana hayana hizo sifa.
Wahadhiri mashehe ubwabwa walituambia waliouawa ni wakristo
 
Yale yaliyotokea hayana sifa ya kuitwa mauji ya kimbari kwa sababu yalihusisha watu kutoka jamii tofauti tofauti, wakristo waliuwawa, waislamu waliuwawa na dini zingine pia makabila na rika tofauti nao waliuwawa bila kusahau watu wa vyama tofauti ikiwemo watu wa mboga mboga
Lakini tukienda mbali zaidi tunaweza kuhalalisha kwamba haya ni mauaji ya kimbari pia kwa kuhusanisha na watekelezaji wa mauaji walikuwa Wazanzibar. Hivyo waliolengwa walikuwa Watanganyika, itoshe kusema yalilenga kuangamiza Watanganyika! Huyu mtu amekuwa mpumbavu sana na sijui kwa nini bado ameng'ang'ania hapo!
 
Kimbali means wanauana wenyewe kwa wenyewe, makundi yote yanakuwa na siraha za kutekeleza mauaji, hapa hakuna mnyonge
Nafikri Kimbari ni pale jamii moja hata kama haina silaha inakuwa inalengwa kuangamizwa kwa mfano kabila fulani, watu wa dini fulani.
 
Kwa Sasa ni mwendo wa kuteka tu. ukikoment kusema mabaya ya serikali unatekwa.TCRA Kwa Sasa wanakazi ya kusikiliza simu za watanganyika wote pamoja na sms zote.
Hawana huo uwezo
 
Japo mimi sio huyo zwazwa uliye mquote ila mauji ya kimbari yanakua yanahusisha kundi fulani tu kwenye jamii mfano wakatoliki tu au wachaga tu au wafuasi wa chama fulani tu

Yale yaliyotokea hayana sifa ya kuitwa mauji ya kimbari kwa sababu yalihusisha watu kutoka jamii tofauti tofauti, wakristo waliuwawa, waislamu waliuwawa na dini zingine pia makabila na rika tofauti nao waliuwawa bila kusahau watu wa vyama tofauti ikiwemo watu wa mboga mboga

Yale ni mauwaji ya halaiki lakini sio ya Kimbari.
Mpe na idadi ya wafu wanatakiwa kiwango gani 1..2..3 ili iwe kimbari!
 
Mauaji ya kimbari unajua maana yake? Au ulipata 0 shule?
Mauaji ni mauaji hakuhitajiki shule kupunguza idadi ya mauaji kwani wewe na Polisiccm na kmkm kuwaua watu 10,000 siyo mchezo
 
Back
Top Bottom