Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya kuanzia siku ya leo tarehe 21 Novemba. Inahisiwa kuwa wahudumu wa mochwari wasingetoa siri hizi CCN na mashirika mengine ya habari wasingezipata.

Kufuatia taarifa hizi kuvuja, na hivyo wahudumu wa mochwari kuhisiwa huenda walihusika, sasa wameanza kutekwa na kuuliwa bila huruma. Ni lini hasa haya mauaji ya kimbari yatakoma? Kila mtanzania sasa hivi anaishi kama digidigi kwenye nchi yake bila kuwa na uhakika wa kuiona kesho. Sasa hivi utawala wa Tanzania unaogopeka kwa raia wake kuliko ilivyokuwa enzi ya utawala Hitler huko Ujerumani.

Tukumbuke kuwa siku 5 za lockdown na kuzimwa kwa internet, polisi na jeshi walikuwa busy wakiokota miili ya maiti barabarani na kuipakia kwenye makontena wanaipeleka kiwanda cha saruji cha Wazo Hill kuiteketeza ili kupoteza ushahidi. Na hawa wahaini hawakuishia tu kuchoma maiti bali waliwachukua majeruhi wakiwa hai hospitalini wakawachanganya na maiti wakawateketeza kwenye tanuru.

Nchi hii imekosa utu hadi inadiriki kuwachoma moto raia walio hai kweli? Ndio maana nchi inashindwa kusonga mbele kimaendeleo kwa kuwa watawala wamelaanika kwa haya maovu wanayowatendea raia. Mungu atawahukumu wote waliohusika kuwateketeza binadamu hai bila huruma.
 
Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya kimbari ya tarehe 29 Oktoba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya kuanzia siku ya leo tarehe 21 Novemba. Inahisiwa kuwa wahudumu wa mochwari wasingetoa siri hizi CCN na mashirika mengine ya habari wasingezipata.

Kufuatia taarifa hizi kuvuja, na hivyo wahudumu wa mochwari kuhisiwa huenda walihusika, sasa wameanza kutekwa na kuuliwa bila huruma. Ni lini hasa haya mauaji ya kimbari yatakoma? Kila mtanzania sasa hivi anaishi kama digidigi kwenye nchi yake bila kuwa na uhakika ws kuiona kesho. Sasa hivi utawala wa Tanzania unaogopeka kwa raia wake kuliko ilivyokuwa enzi ya utawala Hitler huko Ujerumani.

View attachment 3505226
Wanafunga loose ends, kuminimize ushahidi but its too late
 
Tupe elimu Profesa. Tunakusikiliza. Kama mauaji ya raia 10,000 sio ya kimbari ulitamani wauliwe wangapi ndipo yawe ya kimbari?
Kwani walikua wanauliwa kwa kuchambuliwa kabila au dini, rangi au asili yao?

Hata wangeuwawa watu elfu 50 bado siyo mauaji ya kimbari maana hayana hizo sifa.
 
Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya kimbari ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya kuanzia siku ya leo tarehe 21 Novemba. Inahisiwa kuwa wahudumu wa mochwari wasingetoa siri hizi CCN na mashirika mengine ya habari wasingezipata.

Kufuatia taarifa hizi kuvuja, na hivyo wahudumu wa mochwari kuhisiwa huenda walihusika, sasa wameanza kutekwa na kuuliwa bila huruma. Ni lini hasa haya mauaji ya kimbari yatakoma? Kila mtanzania sasa hivi anaishi kama digidigi kwenye nchi yake bila kuwa na uhakika ws kuiona kesho. Sasa hivi utawala wa Tanzania unaogopeka kwa raia wake kuliko ilivyokuwa enzi ya utawala Hitler huko Ujerumani.

Tukumbuke kuwa siku 5 za lockdown na kuzimwa kwa internet, polisi na jeshi walikuwa busy wakiokota miili ya maiti barabarani na kuipakia kwenye makontena wanaipeleka kiwanda cha saruji cha Wazo Hill kuiteketeza ili kupoteza ushahidi. Na hawa wahaini hawakuishia tu kuchoma maiti bali waliwachukua majeruhi wakiwa hai hospitalini wakawachanganya na maiti wakawateketeza kwenye tanuru.

Nchi hii imekosa utu hadi inadiriki kuwachoma moto raia walio hai kweli? Ndio maana nchi inashindwa kusonga mbele kimaendeleo kwa kuwa watawala wamelaanika kwa haya maovu wanayowatendea raia. Mungu atawahukumu wote waliohusika kuwateketeza binadamu hai bila huruma.
View attachment 3505226
Kufuatia taarifa hizi kuvuja, na hivyo wahudumu wa mochwari kuhisiwa huenda walihusika, sasa wameanza kutekwa na kuuliwa bila huruma. Ni lini hasa haya mauaji ya kimbari yatakoma? Kila mtanzania sasa hivi anaishi kama digidigi kwenye nchi yake bila kuwa na uhakika ws kuiona kesho. Sasa hivi utawala wa Tanzania unaogopeka kwa raia wake kuliko ilivyokuwa enzi ya utawala Hitler huko Ujerumani.
 
Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya kimbari ya tarehe 29 Oktoba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya kuanzia siku ya leo tarehe 21 Novemba. Inahisiwa kuwa wahudumu wa mochwari wasingetoa siri hizi CCN na mashirika mengine ya habari wasingezipata.

Kufuatia taarifa hizi kuvuja, na hivyo wahudumu wa mochwari kuhisiwa huenda walihusika, sasa wameanza kutekwa na kuuliwa bila huruma. Ni lini hasa haya mauaji ya kimbari yatakoma? Kila mtanzania sasa hivi anaishi kama digidigi kwenye nchi yake bila kuwa na uhakika ws kuiona kesho. Sasa hivi utawala wa Tanzania unaogopeka kwa raia wake kuliko ilivyokuwa enzi ya utawala Hitler huko Ujerumani.

Tukumbuke kuwa siku 5 za lockdown na kuzimwa kwa internet, polisi na jeshi walikuwa busy wakiokota miili ya maiti barabarani na kuipakia kwenye makontena wanaipeleka kiwanda cha saruji cha Wazo Hill kuiteketeza ili kupoteza ushahidi. Na hawa wahaini hawakuishia tu kuchoma maiti bali waliwachukua majeruhi wakiwa hai hospitalini wakawachanganya na maiti wakawateketeza kwenye tanuru.

Nchi hii imekosa utu hadi inadiriki kuwachoma moto raia walio hai kweli? Ndio maana nchi inashindwa kusonga mbele kimaendeleo kwa kuwa watawala wamelaanika kwa haya maovu wanayowatendea raia. Mungu atawahukumu wote waliohusika kuwateketeza binadamu hai bila huruma.
View attachment 3505226
Kama ni kweli ,basi wakamataji ni hawajitambui, hospital ikumbukwe watumishi huwa wapo na ushirikiano wa kutosha that's binafsi naitaga wizara ya afya ni jeshi la tatu ,wale watu wapo na umoja na wanamtandao mkubwa wa kufamihana katika hospital mbalimbali iwe private au Gerv ,nchi nzima.

Sasa kama ni kweli hao wakamataji wanafikili mtumishi yoyote katika hospital husika anazuiliwa kuingia idara yoyote achilia mochwali .

Unaweza kuta hata aliyepiga picha asiwe hata mfanyakazi wa mochwari.

Ikumbukwe hospitali ni taasisi ,so lazima kumbukumbu kwenye taasisi ziwepo japo kwa utaratibu mahalumu, vipi sasa kama picha zilichukuliwa kwa lengo kama nyaraka katika taasisi husika na zikavuja kwa njia ambazo hazijulikani , kama jambo la faragha linavuja na sio tz tu sembuse katika jambo kama hili ambalo Dunia imesimama kuhusu tz.

Tz acheni utoto, hasa nyie vyombo wa ulinzi na msilazimishe kwenda kwenye vita na jeshi la Wizara ya Afya ,hawa , sio watu wa kuongea sana , hata JPM amewahi watahadhalisha MaDC kipindi kile.

Hii vita mnaaza kuja nayo kwa hawa jamaa kama ni kweli ,mtapata tabu sana,

Hawa watu wanaviapo vyao kwa maisha ya mwanadamu ila sio wa mchezo kama mnavyowachukulia , hua unashangaa sana ,upo mkoa flani kama tatizo lako linatakiwa kutatuliwa mkoa flani , kama mgonjwa unapewa connection ya araka na ukifika hakuna maneno mengi ,huduma inakua kwa kasi ya ajabu sana.

Bora JWTZ wana hospital zao na zinafanya vizuri na wamewekeza kwenye wataalamu wa kada hii ,sasa nyie police mna nini, hata ukisema Mzena ,police haiwahusu , upo kuko mwisho wa reli wapi na wapi na Mzena ,lakini hata ungekua mji mkubwa wewe police hai hoe kama mimi Mzena inakuhusu nini au wewe kitengo haihoe kama mimi Mzena inakuhusu nini, au mwanajeshi haihoe kama mimi uko huko peripheral of the peripheral Lugala hosp inakuhusu nini.

Magereza angalau mpo na tuvituo twa kutolea panado ila katika critical condition yako ako kakituo kanakusaidia nini ?

Note
Nasema tena huwa nasema wizara ya afya ni jeshi la tatu ,kwa maana ni kama vyombo vyote ambavyo zipo na wana kada wa afya wapo na umoja mkubwa sana kutokana na makutano yao yaliyowakutanisha katika vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi.

Kinachoweza kuwa kinawatenganisha ni kwamba wote idara ya afya ila wenda mwingine yupo na kazi nyingine , ila bado haiondoi umoja wao .

Kipo kisa cha Bwana mmoja mkubwa sana yupo hai , kama kwa sasa hayupo uraiani basi wenda yupo vyuma ndondo za magereza au mahabusu , uyu aliokolewa na lab assistant tu ,akiwa katika critical condition, kwa simu moja toka kwa aliekua Mwalimu wake ambae alijua Dogo yuko pale , na Mhuanga yupo pale mahali kazini kwake.

Nyie vyombo vya ulinzi , wanasiasa heshimuni watu hawa, kesho upo ufisi kubwa tu ,utaagizwa kwenda sehehem tekeleza majukumu yako , hujui utakutana na nini huko then unajikuta kwenye mikono ya hawa ndugu zetu , na wasihi msianzishe vita na hawa hatu isikua na sababu, hawa mtandao wao wa marafiki sio tz tu bali ni Dunia.

Mbaya zaidi zipo rank katika utumishi wa umma sio kila atakae pata majanga akiwa kazini ati utatumiwa ndenge kwenda nchi za Ughaibuni ,bali humu humu .
 
Tupe elimu Profesa. Tunakusikiliza. Kama mauaji ya raia 10,000 sio ya kimbari ulitamani wauliwe wangapi ndipo yawe ya kimbari?
Japo mimi sio huyo zwazwa uliye mquote ila mauji ya kimbari yanakua yanahusisha kundi fulani tu kwenye jamii mfano wakatoliki tu au wachaga tu au wafuasi wa chama fulani tu

Yale yaliyotokea hayana sifa ya kuitwa mauji ya kimbari kwa sababu yalihusisha watu kutoka jamii tofauti tofauti, wakristo waliuwawa, waislamu waliuwawa na dini zingine pia makabila na rika tofauti nao waliuwawa bila kusahau watu wa vyama tofauti ikiwemo watu wa mboga mboga

Yale ni mauwaji ya halaiki lakini sio ya Kimbari.
 
Huyu jamaa 👆nimemchunguza nimegundua ni mmoja wao wa wausika wa kuteketeza watanganyika .... nimetumia mlango wa saba kudoma saikoloji yako ....jichunge kijana tunu ya upumbavu ni mauti kwa k9zazi chako pia
Toka tena uibe na kuharibu mali za watu safari hii lazima nimchinje nyumbu mmoja kwa mikono yangu ukikutana na mimi utajishindia hiyo offer.

Hamna huruma kwa wahalifu
 
Binsfi naamini Mungu hayuko mbali sana na Taifa hili, na sio yameanza leo hata enzi za mababu zetu Machief yalikuepo , so siho rahisi Tz ya ya sasa kukosa magugu maji, upepo mchafu, n.k ni swala la Mda tu na sio mbali asema Bwana
 
Tupe elimu Profesa. Tunakusikiliza. Kama mauaji ya raia 10,000 sio ya kimbari ulitamani wauliwe wangapi ndipo yawe ya kimbari?
Mkuu haya yanaitwa mauaji ya halaiki,
Halaiki means kundi lenye siraha linauwa kundi lisilo na siraha lisiloweza kujitetea. Haya ndo mauaji ya uonevu.

Kimbali means wanauana wenyewe kwa wenyewe, makundi yote yanakuwa na siraha za kutekeleza mauaji, hapa hakuna mnyonge
 
Back
Top Bottom