Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,559
Reaction score
3,586

View: https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0

👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai kunyoosha mkono wa mapatano). Honestly, huyu mama na wahuni wenzake ni WANAFIKI na WALAGHAI SANA na hapaswi kuaminiwa hata kwa dakika mbili kuanzia sasa!

👉Wanafanyiwa hivyo kwa kuwa inadhaniwa kuwa wao ndio walirekodi na kutoa video na picha kuonesha maiti zilizopelekwa na kulindwa ktk mortuary za hospitali wanakofanyia kazi

👉Hata mkwe wa Samia Mchengerwa uteuzi wake wa kuwa Waziri wa afya, lengo kuu ni kwenda kusafisha hiyo mess ili kumpaka manukato mama mkwe wake

👉 Angalia na hiyo inayoitwa "TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIVU WA AMANI" ambapo jina lake tu inaonesha walioiunda ni wajinga na wapumbavu wasio na fikra njema ktk kufikiri kwao na kuamua. Ni tume inayosadifu muendelezo wa nia ovu toka kwa hayawani hawa chini ya CCM

👉The fact ni kuwa jina sahihi la Tume hiyo kama kungekuwa na nia njema na thabiti kutatua tatizo lililopo lilipaswa kuwa "TUME HURU YA KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI YA RAIA WASIO NA HATIA KABLA, WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI"

👉Ukiachilia mbali jina, lakini pia composition na aina ya wajumbe wanaunda tume hiyo ni factor muhimu kutazamwa na kuonesha dhamira ya kutenda jambo hili. Mtu kama Stergomena Tax (ambaye wakati uhalifu na mauaji yanafanyika alikuwa Waziri wa ulinzi) anaweza vipi kuwa mjumbe? Hebu fikiri hili. Kwamba, itakuwaje iwapo tume itataka kuhoji maofisa wa Wizara hiyo? Ni nani atahohojiwa iwapo Waziri muhusika ndiye mjumbe wa Tume?

👉Ni wazi kuwa Bi Samia Suluhu Hassan (Chura Kiziwi a.k.a Idd Amin Mama) anapima intelligence ya Watanganyika. Anatuona wote ni wajinga, wapumbavu na vyura viziwi kama alivyo yeye!
 
View: https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0
👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuwawa Ili kuficha ushahidi

Duuuuuu, Mchengerwa!!!!!!!!! Kama tulivyofikiria, Mchengerwa kapelekwa kwa kazi maalum!!!!!! Kuficha ushahidi
 
Back
Top Bottom